Jose Mara na Khamis Dakota wamesomea utangazaji au vipaji?

Bigbootylover

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
2,847
1,826
Ni muda ss nimekuwa nikiwasikia hawa mtu na boss wake wakitangaza ktk kituo cha clouds fm. Je walisomea utangazaji au ni vipaji vyao tu, na ilikuwaje mpk wakaanza kutangaza hapo?
 
Ni kipaji kitakua, mtu kama Zembwela hata asiposomea ni kipaji so Jouwse na Dakota sishangai kuwa kipaji
 
Back
Top Bottom