Bigbootylover
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 2,847
- 1,826
Nataka details za huyu Rapper, napenda anavyorap kama hana njaa, mikogo mingi, n. k, hivyo kama kuna mdau ana details zake anijuze tafadhali
Nahisi japo sina uhakika, ila jamaa anawezakwani anawimbo mwingine zaidi ya ule aliomshirikisha Bluu?