C chrissmeck Senior Member Nov 14, 2013 110 105 Apr 3, 2016 #1 Kuna tetesi kwamba mangwiji wa power breakfast masoud na mwenzake wamerejea ilhal PJ na mwenzake out!
Kuna tetesi kwamba mangwiji wa power breakfast masoud na mwenzake wamerejea ilhal PJ na mwenzake out!
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Feb 4, 2009 75,227 157,425 Apr 3, 2016 #2 Hiyo ndio picha halisi ya maisha, rise and fall of Gerald Hando, Kipanya and Fina Mango
MKWEPA KODI JF-Expert Member Nov 28, 2015 28,701 71,035 Apr 3, 2016 #3 Tusiwe wagumu kukubali mabadiliko kama wahusika au wananchi wameamua, tuwape ushirikiano
D Dartz JF-Expert Member Oct 12, 2015 258 90 Apr 3, 2016 #4 Ile si redio binafsi, pengine wako ki uboreshaji zaidi.
N NJALI JF-Expert Member Jan 9, 2014 1,534 1,090 Apr 3, 2016 #5 Jana TCRA walitembelea cloud media wakabaki kuji uma uma tu, kweli kazi na malengo