real G
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 5,227
- 5,296
Meneja wa Diamond akishirikiana na Kalapina wamempeleka Chid Benz Life and Hope Rehabilitation Organization iliyopo Bagamoyo kwa ajili ya kusaidiwa kuacha marumizi ya dawa za kulevya
hatua hiyo imekuja baada ya hivi karibuni rapa huyo kuomba msaada baada ya kuona ameshindwa kukabiliana na matatizo ya kiafya yanayomkabili
kupitia ukurasa wake wa Instagram Babutale ameandika
mwana amekubali kukaa soba ila anasisitiza wana mje kumtembelea kumpa pole na kuleta mapokopoko manjari. Mungu bariki hii safari ya matumaini