Kwa hii kauli jamaa alikuwa unamanisha nn?

isho_boy

JF-Expert Member
Sep 22, 2015
2,145
1,892
Eti kizuri kikikosekana ata kile kibaya huonekana kizuri.....lilikuwa dongo kwa nani na je n kweli baada ya kizuri kurudi kibaya kimepoteza thaman yake ..???
 
Pale usiyempenda unapotaka ashuke,badala yake yeye ndio anazidi kumuacha yule unayetaka awe juu.(Halafu kamuulize hivi,kwanini anasumbuka na kibaya ???)
 
Back
Top Bottom