Diamond arekodi kibao kipya na Chris Brown a.k.a Brizz!

TEKNOLOJIA

JF-Expert Member
Jan 6, 2014
4,305
2,563
Nyota wa My Number One Diamond Platinum amekamilisha kibao chake kipya akimshirikisha mzee mzima Chris Brown, wimbo huo unatarajiwa kutoka wakati wowote kuanzia sasa. Stay tuned.
 
acha upuuzi huo, unamchukulia chriss wew? au ndo kisa skukuu yako leo
 
Back
Top Bottom