Why I love Wema Sepetu: The Tanzanian Sweetheart

vampire_hunter007

JF-Expert Member
Jul 25, 2015
1,034
2,599
wema-2.jpg

Hellow guys!!!...

Leo nataka nimzungumzie huyu mdada anayekwenda kwa Jila la Wema Isack Sepetu! Ukweli ni kuwa huyu dada ni wa kipekee sana hapa Tanzania. In short ni kuwa hakuna kama yeye.Kabla sijaendelea wacha niweke jambo moja sawa.....

Hakuna binadamu aliyekamilika. Sote tuna mapungufu yetu. Everybody have some skeletons in their closet. Sema tu wengine sio maarufu au ni wataalamu sana wa unafiki ndio maana jamii inatuchukulia vingine wakati kiuhalisia tupo tofauti. Hivyo Wema is not perfect wala hatutarajii awe perfect.

Its obvious kuwa Wema ni maarufu sana Tanzania. Kila mtu anaweza kusema umaarufu wake umetokana na hivi au vile. Kila mmoja akatoa sababu yake. But the bottom line ni kuwa Wema ni maarufu sana Tanzania. Kuwa maarufu kuna gharama kubwa sana za kupambana na yanayofungamana na huo umaarufu. Kuna stress nyingi sana ndio maana wengine wengi wanaishia kwenye madawa ya kulevya (Msikilize Pfunk akiongelea kifo cha Mangwea na Clouds FM), ulevi wa kupitiliza, maradhi ya presha nk. Na katika watu maarufu Tanzania hakuna aliye katika wakati mgumu kama huyu Wema Sepetu... (Wastara tumuache kwanza)...Ingekuwa wengine huwenda tayari wangeuwa wamepotea katika ucelebrity au wapo kwenye uteja...But Wema is still strong, smiling, doing her things. Hebu cheki hizi issue....

1: MISUNDERSTOOD AND WRONGLY ACCUSED.
Wema ni katika watu wanaoongoza kwa kutukanwa. Anatukanwa matusi makubwa makubwa. Ishu yake ya Ugumba ilivyokuwa subject kwa kila anayemtukana ni ushahidi tosha.

Sasa wanapotokea watu wanaompenda wakajibu mashambulizi kuna baadhi ya vijitu vinavyojifanya vistaarabu vinaanza kumlaumu Wema kuwa anawatuma watu wake watukane. Na ni wema pekee niliyemsikia akikataza mashabiki wake kutukana watu. Lakini bado watu wanamlaumu mno na kumuona mbaya kupita kiasi. Yani wanachotaka ni kuwa atukanwe tu na asitokee wa kumtetea... Jambo hili lilitosha kumpa stress sana na kufung account ya Instagram. Most of us would. But No, she is strong enough to swallow all that and keep rising...

2. UBUNGE
Baada ya kusifiwa sana kumpa ushindi wa tuzo za KTMA yule jamaa, mwenyewe akajiona ana nyota kali sana. Watu wengi wakamsifia na nyota yake na kumtaka aingie kwenye siasa. Maadui zake wakawa wanamponda na kumtukana kuwa hawezi. Yeye akaamua kuingia kwenye siasa. Akijiamini kuwa anapendwa na ataashinda. Kupondwa na kutukanwa kulitosha kumpa stress ikiwa atashindwa kweli. Maana kiubinaadamu azma mtu awe na shauku ya kuwaprove wrong haters.
But akashindwa aisee. Na maadui zake wakacheka na kufurahi. Nakumbuka hata yule jamaa alirusha kijembe kule instagram kwa watu wa singida. Wengi wetu hili lingekuwa ni aibu na kushindwa kuweka uso wako mbele ya watu... but she came back as a hero. With her head high mpaka haters waliotarajia kumcheka wakakosa la kusema...

3. RIVALRY WITH HER EX
Hakuna kitu kibaya kama kumuona adui yako anafanikiwa. Baada ya kuachana na huyo jamaa watu wakatabiri kuwa ndo mwisho wa mshkaji. Wakasema alipandishwa na Wema na sasa atapotea. Ungekuwa wewe ndio Wema, ungetamani sana maneno haya yawe kweli. Ungetamani jamaa ashuke na apotee. Na next guy wake apate umaarufu kumzidi. Nyota yako ionekane. Sasa imekuwa kinyume, Adui yake anazidi kufanikiwa naye anazidi kuandamwa na mikosi. hili lilitosha kumdrive crazy. But No....She is still strong and move on with life. Japo baadhi ya wapuuzi wamekuwa wakimuandama kuwa bado anamtaka mshkaji. Na wamekuwa wakimshutumu bila vigezo vyovyote. But she is still strong...Moving on... Famous...

4. BOOTY GONE WRONG
MISS.jpg
wemasepetu4.jpg

Okay..Watu wengi tu wamekuwa wakitumia madawa na maoperation kujiweka sawa....Lakini imetokea bahati mbaya kwake..Sasa hivi makalio yanaanzia kwenye magoti...Hivi ingekuwa wewe ungejisikiaje? Ungekaaje mbele za watu...But No...She is strong enough to swallow it..And move on..With her head high...Doing her things....Shining red carpets...

5. THE "PREGNANCY"
Baada ya matusi, kejeli na kelele za muda mrefu hatimaye akajaaliwa "mimba". Haters wakashushuka..Matusi ya ugumba yakaisha...Wakahamia kwenye kusema ni fake..Kuwa time will tell...Hadi yule demu wa jamaa yetu akapost kumponda kuwa ni fake...Katika hali hii, ungekuwa wewe tungetamani miezi tisa iwe sekunde..Ujifungue haters wale maneno yao...Tena unachukua na video kabisa mtoto akitoka maana hawakawii kusema mtoto umemuiba...Mara paaaaap!..."Miscarriage"!..Hili lilitosha kumfanya ajiue..Mkosi gani huu...Watu wakamcheka..Wakamtukana...wakapost picha za "mtoto wa ex wake" kwa kejeli na kumponda...But hey, she still moving...Still strong..Bado anawafanya haters wajinyee kila akipost picha yake....

hayo ni machache tu. bado ya umeme, range nk..Nampenda kwa sababu ni strong...Fighter....Mbishi......Akianguka anasimama na kusonga mbele...Hajali maneno ya watu....Wapo wanaomuita malaya, Tanzania kuna malaya wangapi mbona hawazungumzwi...Na wengine wanaomponda kuwa malaya wao ni mara kumi yake...Kama umalaya ndo unamfanya abaki juu..Mbona nyie mnamegwa na hampewi hata vits..Papuchi yake ina nini?Ina utamu gani? Mbona kina giggy wanaliwa sana tu na hawapo level yake?...She is a fighter...Hata kugundua kuwa una papuchi tamu na kuitumia kujiendeleza ni strength pia..Maana mpaka leo hana ukimwi...This is why I love her..She is strong enough kuhandle the stress.. Kina britney spears walikuwa machizi, kina whitney na ray C wakabwia madawa....She is just busy with her lipstics...

Mitanzania ilivyo mivivu kusoma sasa
 
4. BOOTY GONE WRONG
huu ni uzwazwa wa kiwango cha phd na kutojitambua kwa kiwango cha uprofesa. Kuwa miss tz ilitosha kabisa kumthibitishia kwamba yeye ni moja ya wanawake wenye mvuto bongo mpk kufikia kupambanishwa duniani. Je kuna haja gani yeye kutaka kujiongeza hayo makalio? Kwanini watu wasimseme sasa kwa upuuzi wake....i don't hate her ila kwa hapa ameproove kwamba hata kama kasoma hakuelimika......


5. THE PREGNANCY
Wote tunajua kwamba kuzaa na kutozaa ni majaliwa ya Mungu, na sio kosa lako mwanamke unapozaliwa mgumba lkn ukiwa mgumba kwa kuwa ulitoa mimba nyingi huko nyuma na kisha kuadmit kwenye media ww mgumba na ilihali ulishawahi kubeba mimba huko nyuma ni lazima tutakusema tu. Hata ww ukisikia dada ako katoa mimba nyingi na leo kashindwa kumzalia mumewe lazima tu utamsema na kumlaumu. Na mbaya kuliko zote ni kufake ujauzito kwanin usijikubali tu kama ulivyoamua kusema ww mgumba kuliko unakuja kudanganya umma ni mjamzito na baadae unadai imetoka? Sasa hapa kwa hili kwanini usitukanwe? Sio haters tu hata shabiki zake wanaojitambua lazima wamtukane.......

UMALAYA
Inawezekana kweli ila mi naona kwa style nyingine naweza sema wema sio malaya sema ameingia kwenye mahusiano mengi kwa kipindi kifupi na pia hana subira, akiachana na bwana mpe wiki tu kashaingia sehemu nyingine yani hana time ya kusubiri, it's like ana list tayari kwamba nikishamsadate huyu akizingua the next is fulani.....ningemwita malaya endapo angedate multiple men at once.

Wema kathibitisha kwamba hajitambui ingawa kweli ni strong kama unavyodai ila baadala ya kutumia hiyo strength kuamka kujikung'uta vumbi na kurekebisha alipokosea yy anamka na kuzid kujipaka matope so ile nguvu yake inazaa upuuzi mkubwa kuliko ule wa mwanzo.
 
Strong enough!!kugundua una papuchi tamu na kuitumia kujiendeleza ni strength pia?? Eti mpaka leo hana ukimwi! Ndo sababu za wewe kumpenda?!? ....mi ni mmoja wa mitanzania mivuvi kusoma ila hayo machache tu yame nishibisha
 
Dhambi inakurudia kadri ya jinsi ulivyoifanya,utamong'onyoka matako hadi ndani utakuwa hautoki.
 
Ningependa sana angejitambua yeye ni nani na ana mchango gani kwenye jamii na awe real. Ili kuwasaidia wasichana wadogo wanao tamani kuwa mama yeye
 
Nilishasema mtu akimsifia mwanamke huyu akapimwe akili..
Yaani wewe na akili zako unamuanzishia thread huyu mtu asiejielewa mpaka Leo.
 
Yani wanaume anayemponda huyu demu mi wala siwaelewagi asee.....Af mingine inajifanya michamungu eti asaidie waschana wenzake...We unawasaidia kina nani...Muacheni Wema wangu.....Tena apa nasubiri wakiisha maceleb namchukua mwenyewe tumalizie uzee....
 
Back
Top Bottom