Tamko Rasmi la Gerrad Hando

kedrick

JF-Expert Member
Apr 25, 2015
5,069
4,896
Kwa takribani siku 3 sasa kumekuwa na sintofahamu na kwa baadhi ya ndugu na marafiki imezua taharuki kuhusu ajira yangu na clouds fm..

Naamiini sasa kwa upande wangu ni wakati muafaka kutoa tamko rasmi baada ya kufuata taratibu zote muhimu…kuanzia leo tarehe 1 april 2016…mimi si mfanyakazi tena wa clouds media group na hii ni baada ya kwisha rasmi kwa mkataba wangu na clouds media group jana 31 march 2016…

Nimeamua hivi kwa hiari yangu mwenyewe bila shinikizo wala rabsha na mwajiri wangu huyo wa zamani..Napenda Nikujulishe tu kuwa nitaendelea na kazi hii hii ya utangazaji ila sasa nitakua na kituo kingine na si clouds tena…wapi na lini ni suala la time…

Jiandae kuendelea kufurahia asubuhi yako katika frequency mpya soon. ..Haya Ni masuala ya fursa…ikija unaikamata fasta…stay cool…stay tuned
0a466dfae9c1b90383e7a0f485a00bc9.jpg
 
Last edited:
Back
Top Bottom