barafu
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 6,739
- 32,866
Daaah!!Nimejistukia tu na-tune Clouds Tv,nikakutana na kipindi cha "TAKE ONE" cha Zamaladi,huyu mwanamke Faiza kweli zimefyatuka kidogo.Yaani mambo anayoongea unaona kabisa kuna fyuzi zimekata kichwani
Anasema yeye kuuza huwa anauza,huwa anajilipua ili mradi maisha yawe vizuri.Anasema yeye sio kama wanawake wengine wanafiki wanaojidai kupenda pasipo na pesa.Yeye hupenda mahali penye pesa na huwa hakai kihasarahasara.Anasema aliwahi kuwa na bwana wa Kijerumani ambaye walikuwa wanakutana Hong Kong kula bata,walikuja kuachana baada ya siku Faiza kwenda na jamaa na washikaji zake Club ya usiku ambapo walikuta mademu "wanaouza" na wanafahamiana na Faiza.Jamaa alipoona wale "malaya" wanafahamiana na Faiza akaona hata Faiza atakuwa wa tabia hizo hizo.
Anasema yeye anajuwa kukaa sehemu ambazo atakutana na wanaume wenye hela zao,na huwa hatoi tu kwa mwanaume kihasarahasara.Yaani hapo tu anahojiwa kigauni alichovaa kila kaibadirisha mkao wa kukaa,mapaja wazi mpaka watazamaji tumejuwa alikuwa amevaa "kufuri" nyeupe...Daah kweli kuna watu fyatu kwenye hii dunia...Asalaleeeeee
Alipoulizwa kama anamsemaje Sugu mzazi mwenzake,akaanza kulia,anasema anampenda sana Sugu,anakumbuka good time za Sugu,wakiwa wanabarizi na kula bata huku na kule,na wakati wa msimu wa bunge alikuwa anamsindikiza hadi Bungeni.Anasema anajuwa Sugu hampendi lkn yeye anataka Sugu ajuwe huko aliko kuwa anampenda sana.
Anasema Sugu alimkuta akiwa na nyumba na gari mbili na biashara zake ambazo alizipata kwa kujilipua sana ukiwemo hata kuuweka mwili wake sokoni.
Anasema yeye ni Mama bora,na anamlea mwanae kisasa zaidi,na anasema anamlea mwanae tofauti hata ya yeye alivyolelewa na Mama yake,anasema anavyojiangalia yeye anatamani hata mama yake angemlea kama yeye anavyomlea Sasha
Leo alikuwa anatangaza filamu yake mpya,ambayo ameomba watu wamuunge mkono bila kujali tabia zake kwamba sijui alivaa "dippers" au siku ya Zali's White Party alivaa kivazi cha kuwachanganya watu
Leo nimeamini huyu dada ni "mbili kasoro",yaani mengine hayaandikiki humu.,,Looooh