samsun
JF-Expert Member
- Feb 9, 2014
- 7,386
- 5,954
Ndani ya siku kadhaa zimeshatoka nyimbo kibao na bado zinakuja wasanii kwasasa inabidi wajipange kabla hawajaachia nyimbo zao. Ujipange kuanzia promo redioni na kwenye Tv pamoja na mitandao ya kijamii. Lakini kitu ambacho nachojiuliza inakuwaje kwa wasanii wachanga au alipotea halafu anataka kurudi au yupo siku nyingi ila huwa ni wa kawaida si inawawia vigumu sana kwao ..................... zifuatazo ndio nazijua zimetoka hivi karibuni au bado zinasikika masikioni kwa watu.
Nay Wamitego - Saka hela.
Shishi beibi - Say ma name.
Shettah - Namjua.
Madee - Migulu pande.
Nedy ft Dimpoz - ( jina limenitoka)
Ambazo hazina muda mrefu;
V.Money - niroge.
Jide - Ze ndi ndi ndi.
Snura - chura (japo yupo lupango)
Na pia kuna jamaa yetu kila akichungulia nje anaona toba !!!!!!! anaishia kutuuliza "AJE" ???
Nay Wamitego - Saka hela.
Shishi beibi - Say ma name.
Shettah - Namjua.
Madee - Migulu pande.
Nedy ft Dimpoz - ( jina limenitoka)
Ambazo hazina muda mrefu;
V.Money - niroge.
Jide - Ze ndi ndi ndi.
Snura - chura (japo yupo lupango)
Na pia kuna jamaa yetu kila akichungulia nje anaona toba !!!!!!! anaishia kutuuliza "AJE" ???