Tudd Thomas vs Nahreel

kanali mstaafu

JF-Expert Member
May 17, 2015
4,318
4,098
hawa ni producers wa mziki waliofanikiwa kutengeneza hit single kitaifa na kimataifa
TUDD THOMAS
1.Number one remix-diamond ft Davido
2.Ndagushima-Ommy dimpoz
3.Make me sing-Diamond ft AKA
4.Na yule-Ruby
5.prokoto-victoria kimini
6.mdogo mdogo-Diamond
7.Bum bum-Diamond
8.utanipenda-Diamond


NAHREEL
1.Gere-Weusi
2.Niroge-Vannesa
3.Nusu nusu-Joh makini
4.Don't bother-Joh makini
5.Hamjui-Vannesa
6.Original-Gnako
7.Game-Navy kenzo
8.Kamatia-Navy kenzo


Nana-Diamond platnumz
waliitengeneza wote

Nani producer mkali kati yao??
 
Ukifuata kanuni za kujaji muziki basi TODDY yupo juu,kwasababu nyimbo zake zote alizozifanyia kazi yeye zili hit na kushika nafasi za juu na mituzo kibao labda tuwasubiri watakao piga kura kiushabiki na si kwa ubora wa kazi.
 
Wote wako poa sana...ushauri kwa nahreel, asifanye kazi kikanda...afungue milango zaidi kwa wasanii wengine. The industry imekuwa Kama Mali ya weusi...mawazo tu.
 
Tuddy ana vionjo vizuri vya kipekee zaidi ya Nahreal..

Nahreal ana midundo flani ya kisasa zaidi ya Tuddy...

wote wamewahi kusample beat flani za nje kwa nyakati tofauti labda bahati mbaya au makusudi...
 
hawa ni producers wa mziki waliofanikiwa kutengeneza hit single kitaifa na kimataifa
TUDDY THOMAS
1.Number one remix-diamond ft Davido
2.Ndagushima-Ommy dimpoz
3.Make me sing-Diamond ft AKA
4.Na yule-Ruby
5.prokoto-victoria kimini
6.mdogo mdogo-Diamond
7.Bum bum-Diamond
8.utanipenda-Diamond


NAHREEL
1.Gere-Weusi
2.Niroge-Vannesa
3.Nusu nusu-Joh makini
4.Don't bother-Joh makini
5.Hamjui-Vannesa
6.Original-Gnako
7.Game-Navy kenzo
8.Kamatia-Navy kenzo


Nana-Diamond platnumz
waliitengeneza wote

Nani producer mkali kati yao??

Bongo hapa bado hawajamfikia P funk majani, nakumiss sana mkubwa rudi utupe radha
 
hawa ni producers wa mziki waliofanikiwa kutengeneza hit single kitaifa na kimataifa
TUDDY THOMAS
1.Number one remix-diamond ft Davido
2.Ndagushima-Ommy dimpoz
3.Make me sing-Diamond ft AKA
4.Na yule-Ruby
5.prokoto-victoria kimini
6.mdogo mdogo-Diamond
7.Bum bum-Diamond
8.utanipenda-Diamond


NAHREEL
1.Gere-Weusi
2.Niroge-Vannesa
3.Nusu nusu-Joh makini
4.Don't bother-Joh makini
5.Hamjui-Vannesa
6.Original-Gnako
7.Game-Navy kenzo
8.Kamatia-Navy kenzo


Nana-Diamond platnumz
waliitengeneza wote

Nani producer mkali kati yao??
hamna producer hapo labda ungeuuliza yupi na beat maker mzuri kuliko mwenzake
 
Ukifuata kanuni za kujaji muziki basi TODDY yupo juu,kwasababu nyimbo zake zote alizozifanyia kazi yeye zili hit na kushika nafasi za juu na mituzo kibao labda tuwasubiri watakao piga kura kiushabiki na si kwa ubora wa kazi.
Zilichukua tuzo kwa sababu zote alimtengenezea msanii mkali.. mondi..
inaitaji upeo na uchambuzi wa kina kdg ku-decide.. in short wote wakali
 
Technically Tudd ni bora kuliko Nah real.. Nah real ni mzuri kwenye midundo ya kisasa trap, crank na kama hizo.

Tudd ni mzuri kwenye mixing na vinanda . Nah real mixing ni mbovu mno.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom