juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,463
Kama unajua muziki utaelewa ninachomaanisha, ila kama hujui basi hutaelewa kamwe, hao wasanii watatu nadhani ndio wasanii wabovu kabisa hapa Tz, hawajui kuimba kabisa.
Hao ni wasanii wa kuomboleza tu, maana wao kila nyimbo wanalilia tu hata kama ni nyimbo ya kuparty,
Sasa hawa wasanii wanaomboleza nini kila wimbo jamani??
Hao ni wasanii wa kuomboleza tu, maana wao kila nyimbo wanalilia tu hata kama ni nyimbo ya kuparty,
- CHEGE sikiliza Dar mpaka Moro alivyolialia wakati ni nyimbo ya furaha
- FEROUZ sikiliza Jirushe alivyolialia wakati ni nyimbo ya kuparty
- TUNDAMAN sikiliza Starehe gharama alivyolialia wakati ni nyimbo ya kuparty, tena huyu ndio analia vibaya sana, sikiliza Pesa ya Madee.
Sasa hawa wasanii wanaomboleza nini kila wimbo jamani??