Linah(Ndege mnana) vs Dayna nyange(Nyama ndogo)

kanali mstaafu

JF-Expert Member
May 17, 2015
4,318
4,098
Ni wasanii wa kike wanaokonga Nyoyo huku sauti zao zikisadikiwa kuweza hata kumtoa chura alikojificha. baadhi ya hit single zao ni
DAYNA NYANGE(NYAMA NDOGO)
1.mafungu Nyanya
2.Nivute kwako
3.i do
4.Angejua

LINAH(NDEGE MNANA)
1.bora nikimbie
2.atatamani
3.ole-Thelma
4.malkia wa nguvu

Nani zaidi??
 
Back
Top Bottom