Wonderful
JF-Expert Member
- Apr 8, 2015
- 7,347
- 5,984
Ripoti kutoka mitandaoni zinasema kuwa Muheshimiwa Mbunge Sugu Amemzawadia Gari aiana ya Toyota Lexus kama zawadi ya siku ya kuzaliwa kwa mpenzi wake ajulikanae kama Happiness, Sugu na mpenzi wake huyo mpya wamekuwa gumzo mitandaoni hasa baada ya aliyekuwa mpenzi wa Sugu wa zamani Faiza Ally kusema bado anampenda Sugu....Wadau wengi tunasubiri kuona Faiza atasema nini kuhusu hilo kwani amekuwa sio mvumilivu wa kukaa kimya kinapokuja suala la Sugu