Wema sepetu aja na mradi mpya "Wema na jamii"

warumi

R I P
May 6, 2013
16,273
18,422
Miss Tanzania 2006 na muigizaji wa filamu, ameanzisha mradi mpya alioupa jina ‘Wema na Jamii’ ambapo ameanza kuzunguka kwenye shule mbalimbali jijini Dar es Salaam kuongea na wanafunzi na kuwapa vitu mbalimbali.
Yeye mwenyewe anasema #WemaNaJamii #MkonoWaBaraka #MtotoWakoNiWangu. Tazama picha hizo chini.
 
Attachments

  • 1462736233363.jpg
    1462736233363.jpg
    25.8 KB · Views: 120
Miss Tanzania 2006 na muigizaji wa filamu, ameanzisha mradi mpya alioupa jina ‘Wema na Jamii’ ambapo ameanza kuzunguka kwenye shule mbalimbali jijini Dar es Salaam kuongea na wanafunzi na kuwapa vitu mbalimbali.
Yeye mwenyewe anasema #WemaNaJamii #MkonoWaBaraka #MtotoWakoNiWangu. Tazama picha hizo chini.
project hii c ya wema na hata idea sio ya wema n ya huyu dada alimkumbatia wao n mabalozi na wageni waalikwa tu ila cha ajabu n wema kudai kuwa n project yake

8e9a22346119df0c14fee267969bdb65.jpg

huyu mdada mwenye matatizo ya mguu ndo muanzilishi ya iyo project
 
Nimesikia hivyo pia. Wema alikuwa mgeni mwalikwa
 
Hivi anazo taarifa kwamba NE-YO anakaribia kutua nchini?Na atafanya show na Diamond kule jijini Mwanza?
 
project hii c ya wema na hata idea sio ya wema n ya huyu dada alimkumbatia wao n mabalozi na wageni waalikwa tu ila cha ajabu n wema kudai kuwa n project yake

8e9a22346119df0c14fee267969bdb65.jpg

huyu mdada mwenye matatizo ya mguu ndo muanzilishi ya iyo project
Hivi huyo wa sketi nyekundu ni mtoto eee?
 
Back
Top Bottom