Wizkid, Diamond na Mr. Flavour waula, kuandika historia Africa

brave one

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
4,879
7,382
Star wa Tanzania Diamond platnumz ni miongoni wa mastaa 3 wa Africa waliopata shavu la kufanya show kubwa zaidi nchini Marekani kwa wasanii wataotoka Africa kwa mara ya kwanza.

Wizkid, mr flavour na diamond watafanya show hiyo kwenye ukumbi mkubwa wa Barclyers center inaoingiza watu zaidi ya 20k

Ukumbu huu hufanyiwa show kubwa za wasanii wa marekani kama beyonce na nick minaj.

Tamasha hilo linaitwa one africa music fest, wasanii hao nyota wa africa watakiwasha jully 2
1462771734261.jpg
1462771749058.jpg
1462771763437.jpg
1462771769914.jpg
1462771775790.jpg
2 na kujiandikia historia.
 
ni kweli kuna up and down..
lakini kwa sasa bado Davido yuko on the top kumshinda Diamond.
We jamaa bhana, unajitahidi kuwaondoa watu kwenye mada kisa katajwa DIAMOND,mbona haujiulizi kuwa Mr. Flavor au WizKid kama ni zaidi ya Davido ......au ni vile tulishazoea kuwa nyuma basi kila kitu unajiona haustahili ......SASA WEWE ENDELEA KUUGULIA KAMA DAVIDO YUPO JUU YA DIAMOND AU LAA,ILA TUNACHOKIJUA DIAMOND NI MMOJA KATI YA WASANII WATATU WAKUBWA AFRICA WALIOCHAGULIWA KUTUMBUIZA KTK SHOW HIYO.NDIO IMESHAKUWA HIVYO UNAMPENDA AU UMPENDI KESHAMPITA NA WALA HATOMFIKIA KAMWE HUYO UNAYETAKA WEWE AWE.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom