juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,463
Kuna wasanii hapa wana beef na redio hasa clouds fm,kwangu mimi naona ni ujinga sana msanii kuweka beef na chombo cha habari na mwishowe wanatugawa tu mashabiki wao.harafu unakuta beef zenyewe eti kisa tu redio inawabania kupiga ngoma zao.sasa jamani kwani ni lazima redio ipige ngoma zako??