Uzinduzi wa JayDee: NDI NDI NDI kufunika wimbo wa Yahaya na Mtalimbo?

iparamasa

JF-Expert Member
Nov 14, 2013
13,437
14,924
Binafsi naamini yahaya itafunika tarehe 20 mwezi wa tano kwa kuwa muhusika bwana Yahaya kashatambulika na anajijua, mtalimbo wake Jide kashatwambia umelala na hautainuka mpaka mwana wa Adam atakaporudi, ntashushia na Ndi ndi ndi kisha wanaume kama mabinti itafunga kurasa,
wewe je?
 
Ndi Ndi Ndi lazima ifunike!
Natamani siku hiyo ningekuwa na mwanaJF meza moja ila mmmmhhhh nomazz!
 
Atumie jukwaa siku hiyo kwa kufanya kazi yake ya muziki itakua bora sana maana kwa kukurupuka tu yuko vizuri akijichanganya tena yule mhuni atagonga bapa 1 na atatumia dakika 3 kutoa remix ya KUKOJOZWA watu washachoka tena.
 
Back
Top Bottom