BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
Habar za sikukuu?? Natumain mmesherekea vema ...Mimi nmekua mpenz wa kusikiliza nyimbo za FALLY IPUPA na zaid namkubali jamaa sana. ...sasa mda mwingi nyimbo zake anantaja YASMIN NA KATI YA TANZANIA ....navomjua jamaa ni wa totoz itakua ile show aliyokuja dar kipindi flani huyu mdada nseme anaeitwa YASMIN alimchanganya vilivo!!
Nataman anaemjua atupie hata picha ....!!!
Nataman anaemjua atupie hata picha ....!!!