Napenda kuwafahamu wasanii walioimba matangazo haya!!

gwa myetu

JF-Expert Member
Aug 18, 2014
4,473
4,665
Uzi huu ni maalum kuwatambua wasanii wanaoimba katika matangazo mbalimbali kwenye redio na luninga zetu bongo. Huwa yanavutia sana kwa sauti za kupendeza. Napenda kuwafahamu walioimba matangazo yafuatayo;
1. Pamoja nawe PSPF
2. Mimi na wewe yule Azam cola
3. tigo whatsup
4.onja msisimko Coca cola
---English version
5.CRDB
6. kuna matangazo huwa kama nasikia sauti ya Shaa au Enika sijui kama nipo sawa
7. Ongeza na matangazo mengine na waimbaji wake
 
Nashangaa jinsi gani unaweza kupata muda wa kufikiria mambo hayo labda kwa kuwa kazi zangu haziruhusu kusikia vipindi va burudan na Mziki muda mwingi... Kwangu mimi Siwezi kufuatilia lakini nafurah kukuona umeamua hadi kuulizia huku
 
pole mkuu kwa ubize!
 
Uzi huu ni maalum kuwatambua wasanii wanaoimba katika matangazo mbalimbali kwenye redio na luninga zetu bongo. Huwa yanavutia sana kwa sauti za kupendeza. Napenda kuwafahamu walioimba matangazo yafuatayo;
1. Pamoja nawe PSPF
2. Mimi na wewe yule Azam cola
3. tigo whatsup
4.onja msisimko Coca cola
---English version
5.CRDB
6. kuna matangazo huwa kama nasikia sauti ya Shaa au Enika sijui kama nipo sawa
7. Ongeza na matangazo mengine na waimbaji wake
Tigo whats app G nako
Samsung G.Nako
Huawei Shaa
Airtel Jipimie Navy Kenzo
 
No 6 naomba mwny anaeweza kunitumia hyi audio ya hlo tangazo aiweke hapa lkopoah sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom