Saguda47
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 11,136
- 19,871
Habari zenu wakuu,
Kama ilivyo katika kichwa cha habari hapo juu, kama wewe ni mmoja ya wapenzi/watazamaji wa filamu za ngumi, basi kwa upande wa bongo huwezi kumwacha nguli huyo mwenye uwezo mzuri katika kick box, naye si mwingine ni SEBASTIAN MWANANGULO. Kwa miaka ya nyuma hapo aliweza kucheza vizuri sana katika filamu kama:-
1 . lazima ufe joram
2. Misukosuko chini ya jplus
3. Inspector Seba n.k
Swali je kwa sasa yuko wapi? Na je huyu jamaa anatoka mkoa gani? Tujuzane wakuu.
Seba akiwa na Jimmy mponda(jplus)