Shetta: Sitaki kukutana na watu

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
Mwanamuziki Sheta amesema kwamba kutokana na ratiba yake kuwa ngumu hapendi kukutana na watu na hata sasa amehama Kijitonyama


chanzo Clouds sasa hivi
 
Mswahili ! Ktk ubora wake, hutaki kukutana na watu duuh hiyo Kali, sasa unataka uwe unakutana na nani? May be mli m quote vibaya! Kwa mafanikio yapi!
 
Back
Top Bottom