Wema Sepetu alipuka tena mtandaoni, awalipua wanaotumia jina lake vibaya

jr.kiyn

JF-Expert Member
Mar 17, 2013
785
4,847
56c7c962c4cf8d7b897ed24f818bd02e.jpg
 
Ahhhh, ingekuwa dm ya instagram sawa, tangu nianze kutumia social networks sijawahi ona account ya wema fb. Anyway napita namm
 
Ni kweli, nshawahi kupata msg ya namna hiyo fb. Nikajua tu kuna watu wanatumia vibaya jina lake
 
Ukiona hivo huyo mjinga anayetumia jina lake vibaya basi ameshawahi kufanikiwa kwenye huo utapeli si unajua kuna mazuzu kibao yakishasikia jina la huyo Wema akili zao hazifanyi kazi.
 
Yeyote mwenye video ya wimbo wa Supu aweke hapa tuburudike. Natanguliza shukrani, jumapili njema!
 
Back
Top Bottom