NDI NDI NDI CONCERT : Updates from Mlimani City

gwa myetu

JF-Expert Member
Aug 18, 2014
4,473
4,665
Tickets za VIP zimekwisha
Unaweza kuendelea kununua tickets za 20,000/= kupitia vituo vifuatavyo
OMGift Shop Dar Free Market
Shear Illusion Mlimani City
American Nails Salon Kinondoni
Na Jackies Bar Masaki
#Ndindindi
#NaamkaTenaConcert
#NguvuYaUmma
#WananchiWameipokea
20 May 2016
Mlimani City Hall


Haya haya wale wapenzi wa Jide Komando Anaconda , team jide , team Anaconda , team ea radio , na wananchi wote tunaompenda na kusupport mziki mzuri wa Dada yetu Leo tuanze kupeana maupdates ya maandalizi ya show la kibabe litakalofanyika kesho Mlimani city .

Mwenye mapicha yanayohusu show hii anakaribishwa kutupia!!!

updates
Show inaonyeshwa live na eatv a.k.a channel 5 saivi kuanzia saa tatu usiku

jide anaendelea kutumbuiza now , pia anaonekana live channel 5 , nimeshindwa tupia picha mnaoweza tupieni

karudi na vazi jingine sasa anapiga wimbo wa wanokunoku wa mandojo na domokaya

anaimba bongo fleva tuifanye kama jana

Nimeshabwagana na wangu ila yeye kanitendaaaaa now

single boy na Alikiba now

ohhh sisilimba na ngoni wa uganda

kama huweziiiii kuwa mkweliii
kampandisha jamaa mmoja jukwaani sijui ndo mume mpya tutajua kesho!!

Anaimba wimbo wa understanding now

anaimba za kushirikiana now

anaenda kupumzika watu wanaimba jide jide jideeee yaani mzuka balaa

# Asante sana komando Jide , usiku wa Jana umeonyesha kile ambacho hakuna msanii wa bongo anaweza kukifanya , yaani watu tumelala saa kumi bila kupenda!! Show ilitulia na ilikuwa very classic !!
 
Back
Top Bottom