jun255
JF-Expert Member
- Nov 14, 2015
- 391
- 280
Wimbo mpya wa Gnako na Niki wa 2 umewafanya waharibu image zao kwenye jamii
Wimbo mara ya kwanza walimfata Nisher kutengeneza video baada ya kumaliza kushoot kabla hawajamlipa wakasema haiko poa sana hivyo iboreshwe kwanza
Wakati Nisher anasubir waje kyiboresha wakajikata na kwenda kuishoot kwa Hanscana tena wakitumia idea ile ile ya Nisher bila kumshirikisha
Nisher alipojua akaona isiwe kesi wao wamlipe chake kwa sababu alishafanya nao kazi na pili idea yake ndo imetumika ila washkaji wakagoma kulipia
Hahaha nisher kawafata kwa aman kama charting inavyoonesha ila wamegoma
Sasa wamerelease video yao na Nisher karelease yake
Hivyo wimbo wao mmoja una video mbili! Hahaha!!
Cha ajabu Video ya Nisher ndo imekuwa nzuri na imekaa kihipphop zaidi ila waliyotoa kwa Ha scna imekuwa kama ya bongofleava hivi then ukiiangalia vIzuri iko kama tangazo la diamond la tomato sauce hahahaha
Gnako unajiita OG kuwa Og halisi basi mlipe jamaa chake acheni uhuni