Sele Mkonje
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 643
- 845
Huwa najiuliza itakuwaje siku Alikiba akiambiwa atoe japo speech ya Dk 10 kwa kiinglish sijui itakuwaje.
Kama kunamtu kashawahi kumuona au kuna video ya Alikiba akiongea katika interview zaidi ya dk 5 naomba anipe link.
Sasa kashakuwa wa kiintaneshno so analazimika kutumia inglish mara kwa mara.
Instagram video by Selemani Mkonje • May 21, 2016 at 5:35pm UTC