AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,041
Msanii wa Kimataifa Alikiba aliye label moja ya Sony na wasanii wenzake Chris brown, John Legend, Beyonce, Davido etc. Leo hii amendelea kuchukua headlines kama Donald Trump wa Marekani, baada ya kuweka tena headlines kwenye vyombo vikubwa vya Africa, hasa baada ya kituo kikubwa cha #SoundcityAfrica kuamua kuidedicate siku ya leo tarehe 21/5/2016 kama #ALIKIBA DAY" kama sehemu ya heshima kwa mziki wa msanii huyo pamoja na kuapreciate fursa aliyoipata ya kupata shavu la kuwa signed chini label kubwa ya Sony.