AKILI TATU
JF-Expert Member
- Feb 10, 2016
- 2,659
- 2,822
Binafsi mimi ni msikilizaji wa city fm radio ya dar es salaam,wanakipindi chao cha michezo kila siku kuanzia saa moja hadi saa mbili,katika hiko kipindi kuna mtangazaji mmoja hivi anasauti nzuri na anajua sana kuongea lugha ya kiswahili kwa ufasaha,anaitwa Jacob Gamali huyu jamaa kiukweli inabidi watangazaji a redio za kibongo wajitahidi kumuiga kwani hana papara wakati anatangaza,sauti yake imetulia alafu anajua sana kupangilia maneno ,yani sijui kwa nini media kubwa hazimuoni huyu jamaa