Video: Msanii NEYO awasili jijini Dar kupiga show

Kwanza atampitia Ali Kiba wapige lunch mitaa ya Kariakoo ndio aendelee na safari.
 
Nani neyo bora nikamcheki Snura na Chura wake mi nikajua ni Mzee wa HYFR yaani drake kumbe ni ne-yo hamna kitu hapoo
 
Hapana mkuu Mimi ni mTZ&KE yaani nina uraia wa nchi 2 kk avatar inajieleza
 
Mbwiga ww unadhani kisa neyo basi ndo uende tu!! post yang kama muelewa utabaini kuwa kuna watu wakuwaleta toka nje sio neyo,Eti pesa limbukeni ww.
 
Nani kamleta? Au ni clouds wanataka kuja kupangua upepo wa NDI NDI NDI?!
 
Back
Top Bottom