Leo kwa mara ya kwanza nimeshuhudia wimbo wa Sugu, Freedom ikipigwa kwenye TV ya Clouds kuashiria kumalizika kwa bifu kati ya wawili hao.
Kweli wanaume hawanuniani bali husameheana.
Tumezoea kwa wasanii wengi wa Bongo fleva / waigizaji (bongo move) kwa kuwajua kwa majina yao ya kisanii.
Wasanii wengi wamekuwa wanatumia kifupi cha majina yao halisi, ila wengine wanakuwa...
Mwanamuziki kutoka nchini Burundi, Kidumu, amefunguka kwa kusema kuwa watu wengi ikiwamo Wakenya wanadhani kwamba yeye ni Mtanzania kutokana na kuonyesha uwezo mkubwa wakuimba kwa lugha ya...
Msanii wa Bongofleva Chid Benz usiku wa June 15 2016 alipost picha za muonekano wake mpya ikiwa ni siku chache baada ya kutoka Sober house Bagamoyo, alipokuwa amekaa kwa siku kadhaa kama njia ya...
Kuna mtu anayeifuatilia [angalia] hii documentary inayoonyeshwa na ESPN?
Ina sehemu tano. Sehemu ya kwanza ilionyeshwa Jumamosi iliyopita kwenye chaneli ya ABC na sehemu ya pili inaonyeshwa leo...
Leo nimebahatika kuhudhuria maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika 2016, viwanja vya Jakaya Mrisho Kikwete Youth Park pale mnazi mmoja.
Pamoja na watoto kuonesha vipaji vyao mbalimbali kama...
PSQUARE, BRACKETS, MR FLAVOUR,TEKNO NA WENGINE NDANI YA HII VIDEO..
BAADA YA MSANII MMOJA WA KUNDI LA BRACKETS LA NIGERIA KUPONA CANCER (KANSA).WASANII NIGERIA WAUNGANA KUSAPOTI MAPIGANO YA KANSA...
I'd like to share this video.
Wizkid and Chris Brown Perform Together In Amsterdam During Chris Brown World Tour - ( VIDEO)
Powered by TubeMate (TubeMate YouTube Downloader 2.2.8 - Official...
Ikitangazwa shindano la Lulu Husband Search naamini vijana wengi wa kiume watajitokeza kuwania nafasi hiyo moja. Lulu ni mmoja kati ya wadada warembo zaidi hapa Bongo na wanaojua vizuri kuvaa...
Star wa muziki nchini Marekani Lil Wayne ameshambuliwa kwa mara nyingine tena na ugonjwa wa kifafa.
Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ, ndege binafsi aliyokuwa amepanda rapper huyo, ililazimika kutua...
Wema na Idris katika pozi
Aidha katika kauli nyingine ambayo Wema aliitoa mapema mwaka huu, alisema anatumia Sh 30,000 kwa ajili ya chakula kwa siku na kama atanunua na chakula cha mbwa wake huwa...
Kama ni kweli basi Dimpoz atakua na pesa ndefu, Ommy Dimpoz anapiga madili ya hela ndefu. Siku chache zilizopita Ommy Dipoz akiwa na mastar wenzake alipokea simu ya dili la milioni 400 unajua...
Mbunge wa Mikumi ambaye ni msanii mkongwe wa muziki wa Hip Hop, Joseph Haule ‘Professor Jay’ Jumatatu hii alitembelea ofisi za WCB na kujionea uwekezaji uliofanywa na rais wa label hiyo Diamond...
Japo kua Diamond amezaa na Zari na kupata mtoto Tiffah, ila kwa sasa kuna tetesi kua Diamond Platnumz anatoka na demu mpya Aitwa Irene. Kwa taarifa zakuaminika kutoka kwa watu wa karibu wa Diamond...
Kupitia instagram account yake Diamond ameandika haya..
"Wiki nne tu zilizopita tulikuwa Paris, Akanishirikisha kwenye nyimbo yake, tukapanga mengi juu ya wimbo halaf ghafla naskia habari ya...
Kama wewe ni mmoja wa watu wanaotumia mitandao ya kijamii hususani instagram, najua huenda ukawa umekutana na post za mastaa wa Bongofleva Ruby na Aslay ambazo zinatafsirika kama wapo kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.