Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Sanaa ni biashara ipaswayo kulipiwa kodi kisheria lakini kwa muda mrefu imekuwa treated kama srctor isiyo rasmi.Kuanzia July this year wajiandae kucomply na matakwa ya kisheria kwani sasa ni...
0 Reactions
0 Replies
920 Views
Tuzo kachukua Black Coffee. Pole Chibu but we ndo mchizi wetu wa dhahabu, kaza but next time utachukua tu.
11 Reactions
118 Replies
15K Views
Tarehe 28/6 mwaka huu zinaenda kutolewa tuzo za BET ambazo Bongo tunawakilishwa na Diamond platnumz! Na hichi ndicho kinacho tufanya Tuzifuatilie sana Hizi Tuzo! Millard Ayo yupo Naye...
3 Reactions
30 Replies
5K Views
Who's following this thing..? And how 'bout that Taraji P. Henson...that's what's up! #BETAwards
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Kama ni mfuatiliaji wa muziki wa kizazi kipya cha bongofreva nadhani utaelewa, ila kama si mfuatiliaji basi kaa mbali maana hapa itakuwa ni lugha gongana Kuna wasanii kibao hapa bongo na wana...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Wakati wapenzi na mashabiki wa Tanzania sweetheart beautiful Onyinye, Wema Sepetu wakifurahi na kushangilia mimba ya Wema na boyfriend wake Idris, pia maswali kadhaa juu ya nani aliyempachika...
0 Reactions
95 Replies
39K Views
BAADA kuwa katika mahusiano kwa muda mrefu nyota wawili katika tasnia ya filamu Bongo Vincent Kigosi ‘Ray’ na Chuchu Hansy , Chuchu anafunguka kwa kusema kuwa mpenzi wake huyo yupo mbioni kubadili...
0 Reactions
67 Replies
16K Views
Kwanza nikiri kabisa katika moja ya mtanzania ninaye mkubali Diamond kwa kazi anazozifanya ni mimi apa.Jamaa amekuwa balozi mzuri sana kwa nchi yetu,ameipeperusha vyema bendera katika sekta ya...
3 Reactions
40 Replies
9K Views
Wadau habarini, Ndugu yetu kitaifa yupo huko kwa wazungu, ila kashaanza kutusumbua na wimbo wake wa #boranibakipekeyangu ft. Hayati Papaa Wemba kwa kifarasa sijui presuko sheo nini sijui. By the...
3 Reactions
51 Replies
10K Views
Diamond Platnumz anafuata nyazo za Dr. Dre, Ludacris, DJ Khaled, 50 Cent na mastaa wengine walioingia kwenye biashara ya headphones. Mabibi na mabwana, Diamond anawaletea ‘Chibu Beats.'...
4 Reactions
38 Replies
6K Views
Rapper Young Dee hatimaye amethibitisha tetesi za miaka mingi kuhusu utumiaji wa madawa ya kulevya na kukiri kuwa ametumia kwa kipindi cha mwaka mmoja na nusu. Akiongea na waandishi wa habari...
3 Reactions
54 Replies
12K Views
Good news kwa Diamond platnumz na mpenzi wake Zari wamezichukua Headlines leo June 23 2016 kupitia kituo kikubwa cha kimataifa MTV Base wameripoti kuhusu kuwa wawili hao kutarajia kupata mtoto...
0 Reactions
71 Replies
16K Views
Wakuu mwenye taarifa za huyu mkali wa hip pop hapa bongo tujuzane,terry ni miongoni mwa mc 3 waliokuwa wanaunda kundi la hard blasters crew,wengine ni nigger j sasa prof j,big willy na yeye...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Dr Dre, y'all know the name. Does it get any more iconic? doubt it. The man's said to be responsible for a million great things; Easy-E's, Ice Cube's, the N.W.A's, The D.O.C's, the Death Row's...
6 Reactions
51 Replies
7K Views
Kupitia kipindi cha ‪#‎FNL‬ kinachorushwa na EATV siku ya Ijumaa, msanii Diamond Platinumz aliahidi kuna tukio kubwa atafanya siku ya J'tatu. Na leo hii ametimiza ahadi hiyo baada ya kumkabidhi...
31 Reactions
324 Replies
42K Views
Hear this hot gossip......according to insiders Zari is neither insecure about Wema Sepetu nor Kajala Masanja as many people think. According to a source from Diamond's team, Zari's insecurity of...
0 Reactions
52 Replies
21K Views
Kiingereza ni lugha inayotupa tabu Watanzania wengi na hakuna anayebisha kuwa kimekuwa kikitukosesha fursa nyingi za kimataifa au kujikuta tukiumbuka. Rich Mavoko ni mmoja wao na amesema...
2 Reactions
42 Replies
6K Views
Msanii wa filamu za Kibongo, Jacqueline Wolper, juzikati alinusurika kupigwa risasi kwenye kituo kimoja cha mafuta kilichopo Tegeta (jina linahifadhiwa kwa sababu za kipolisi) jijini Dar es...
3 Reactions
121 Replies
18K Views
Nuh Mziwanda Baada ya Kumpata mpenzi mpya amejikuta amerudia alilofanya kwa Shilole la Kujichora Tatoo Mkononi ya jina la mpenzi wake huyo mpya.. Nuh Amesema huyu wa sasa amekuja na gia kubwa...
3 Reactions
36 Replies
9K Views
ASEMA MUZIKI WA BONGO FLEVA UNAFIKA MBALI NA WANAOSIKILIZA WENGI HAWAJUI KISWAHILI KWAHIYO AMEANZA KUJIFUNZA KIINGEREZA.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom