Ommy Dimpoz asema ana utajiri wa milioni 400

YetuMacho

Member
May 31, 2016
16
17
Kama ni kweli basi Dimpoz atakua na pesa ndefu, Ommy Dimpoz anapiga madili ya hela ndefu. Siku chache zilizopita Ommy Dipoz akiwa na mastar wenzake alipokea simu ya dili la milioni 400 unajua alichokisema???? Utashangaa sana hebu mskie mwenyewe kwenye video hii.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom