Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Mwanamuziki Christina Grimmie, amepigwa risasi na kufariki katika tamasha Orlando Marekani, muuaji pia amejiua. Huyu dogo wamemuua Mapema aisee..wangemuachaacha kidogo. Sijui kwa nini vizuri...
2 Reactions
22 Replies
5K Views
Meneja wa WCB alisema ''Wasanii wa WCB wanapenda wanawake waliowazidi umri kwa sababu...) Naskia uwoya mkali, wanasemaga shishi asali #Natafutakiki Yule Ngapepe Sukari ya vijana aka Mario...
3 Reactions
72 Replies
23K Views
Miezi michache baada ya wanandoa Judith Wambura Mbibo ‘Jide’ na Gardner Gabriel Fikirini Habash kutalikiana kwenye Mahakama ya Mwanzo Manzese Sinza jijini Dar, mwanaume huyo amemuanika ‘mtu wake’...
2 Reactions
85 Replies
17K Views
Kufuatia video aliyoipost mtangazaji Diva kwenye mtandao aliyokuwa akidendeka live na mpenzi wake GK, Diva amefunguka kuwa hayo ni maisha yake na kitu kinachompa furaha mno. Diva ameenda mbali...
1 Reactions
43 Replies
10K Views
JANA DIAMOND PLATINUM ALIJIREKODI NA KURUSHA HI VIDEO MITANDAONI
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Jamaa alitupia $100,000 mkekani kwa finals za Golden states warriors vs Cleveland Cavaliers na kujinyakulia $190,909.Ambapo mpaka sasa ni 3-1 ikiwa GSW game 4 wameshinda 108-97.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
WAKONGO WAMUENZI WAHAZIMISHA KIFO CHA MOHAMMAD ALLI KWA KUWEKA MAPAMBANO YA NGUMI
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa sasa Ali Kiba anafanya ziara katika vituo mbalimbali vya Radio na wiki iliyoisha alikua TBC FM akifanya mahojiano na D Jaro Arungu na Baghdad. Katika Interview hiyo alielezea mambo mengi sana...
2 Reactions
7 Replies
6K Views
Akiwa kwenye kipindi cha Friday Night Live cha EATV, Diamond Platnuzm amesema kitendo alichofanya Wema kupost kazi zake anadhani Wema Sepetu ameanza kumkubali kimya kimya na ameona labda hakuna...
4 Reactions
46 Replies
10K Views
Wote tuna fahamu kwamba kwa Muda mrefu kwamba Blue pamoja na wasanii wengine wa awali wamekua wakipwaya katika game la Bongo flava licha ya kuachia ngoma mara kwa mara. Je, Mboga Saba ndio ngoma...
0 Reactions
36 Replies
6K Views
Chidi Benz alitabiri mbele ya Diamond Platnumz (wakati bado underground) kuwa angekuja kuwa msanii mkubwa. Hata hivyo maneno muhimu ambayo rapper huyo alimwambia Diamond ni kuwa asije kunywa...
1 Reactions
23 Replies
7K Views
Moja ya watangazaji wenye uwezo mkubwa ni Emmanuel buhohela wa itv.alikuwa akimudu vema kipindi cha dakika 45.na katika kampeni za uraisi octoba alikuwa akiambatana na rais magufuli wakati wa...
1 Reactions
131 Replies
40K Views
Ni mara chache sana unakutana na msanii na anakubali kua lugha ya kiingereza inampiga chenga. Nakumbuka msanii AY alikubali kua miaka kama 13 nyuma hakua akiiongea kugha hiyo kwa ufasaha lakini...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Nay Wa mitego amekua akihusishwa sana na Freemason, hii ishu haijaanza leo imeanza toka kitambo. Hii ni kuanzia alama ambazo mara nyingi amekua akizionyesha katika video zake na hata namba za gari...
1 Reactions
19 Replies
31K Views
Msanii wa Bongo Fleva, David Genzi ‘Young D’ amejikuta mikononi mwa askari wa Kituo cha Polisi Urafiki, Ubungo jijini Dar kwa madai ya kuharibu simu na kushambulia mwili. Habari toka kituoni hapo...
2 Reactions
52 Replies
9K Views
Hizo hela alipaswa asaidie wasiojiweza
4 Reactions
121 Replies
13K Views
Nmeifuma kwenye facebook page ya Mzee Lowasa..[emoji57]
8 Reactions
32 Replies
12K Views
Mwanamuziki Diamond amethibitisha habari kuwa amemuandalia mwanaye Tiffeh Birthday kubwa ya kukata na shoka, itakayofanyika mlimani City. Tiffah mwenye umri wa miezi 10, kwa sasa ana followers...
1 Reactions
61 Replies
10K Views
Nimetoka kuitazama video ya wimbo mpya wa Mkongwe wa Hiphop Bongo, Jumanne Mohammed Mchopanga aka Jay Mo. Nitasema machache. Mule ndani, pamoja na mabalaa mengine yaliyofanyika, nimependa jinsi...
1 Reactions
16 Replies
6K Views
Mbunge wa Kawe Halima Mdee amefunguka na kusema kuwa katika wasanii wa bongo anamkubali zaidi Roma Mkatoliki kuliko Diamond na Alikiba kwa kuwa wawili hao wote ni waimba mapenzi tu pamoja na...
7 Reactions
32 Replies
7K Views
Back
Top Bottom