Collabo ya Papa Wemba ft Diamond

kedrick

JF-Expert Member
Apr 25, 2015
5,069
4,896
Kupitia instagram account yake Diamond ameandika haya..
"Wiki nne tu zilizopita tulikuwa Paris, Akanishirikisha kwenye nyimbo yake, tukapanga mengi juu ya wimbo halaf ghafla naskia habari ya Msiba...Dah! nimesikitika sana, Hakika binadamu ni wazungumzaji tu ila Mwenyez Mungu ndio Mpangaji...Pumzika salama Kiongozi wetu daima tutakukumbuka" #RipPapaWemba
da82783b6f8973056ab7afb9244a4577.jpg
 
Wiki 4 zilizopita papa wemba alimshirikisha diamond platnumz kwenye nyimbo yake mpya ambayo ilikuwa bado haijatoka , kazi hiyo ilifanyika paris ufaransa
 
Hivi ndo tuseme ajali kazini ama, maana nimejiuliza maswali mengi sana baada kifo chake papa wemba hasa kilicho msababishia kuondoa uhai wake ili limekaaje, hizi hall stage huwa zinandaliwa na experts na kwa kiwango cha ubora gani hasa kwa bara la Afrika ukiacha SOUTH AFRICA ambao wanaanda MTV BASE AWARDS naona bado tupo nyuma sana... Mbona BET AWARDS, MTV AWARDS hall stages zake zipo kwenye viwango vya juu na wana weka effort sana kwenye hili kwa kweli huwa wana stage nzuri sana na zenye hadhi huku wakiangazia USALAMA wa wasanii wakiwa kwenye stage, leo tumempoteza papa wemba kwa hall stage collapse dah inasikitisha..
 
Bro hajaanguka kutoka stejini mpaka chini!! NO, ame-collapse akiwa on stage..
 
Hivi ndo tuseme ajali kazini ama, maana nimejiuliza maswali mengi sana baada kifo chake papa wemba hasa kilicho msababishia kuondoa uhai wake ili limekaaje, hizi hall stage huwa zinandaliwa na experts na kwa kiwango cha ubora gani hasa kwa bara la Afrika ukiacha SOUTH AFRICA ambao wanaanda MTV BASE AWARDS naona bado tupo nyuma sana... Mbona BET AWARDS, MTV AWARDS hall stages zake zipo kwenye viwango vya juu na wana weka effort sana kwenye hili kwa kweli huwa wana stage nzuri sana na zenye hadhi huku wakiangazia USALAMA wa wasanii wakiwa kwenye stage, leo tumempoteza papa wemba kwa hall stage collapse dah inasikitisha..

Mkuu jamaa hakuteleza, nahisi itakuwa ni heart attack.
 
Mondi hacheza na nafasi yaan ule msemo was Bahati haijirudii unafanyakazi Mara mbili ya kawaida RIP PAPAAA
 
Hivi ndo tuseme ajali kazini ama, maana nimejiuliza maswali mengi sana baada kifo chake papa wemba hasa kilicho msababishia kuondoa uhai wake ili limekaaje, hizi hall stage huwa zinandaliwa na experts na kwa kiwango cha ubora gani hasa kwa bara la Afrika ukiacha SOUTH AFRICA ambao wanaanda MTV BASE AWARDS naona bado tupo nyuma sana... Mbona BET AWARDS, MTV AWARDS hall stages zake zipo kwenye viwango vya juu na wana weka effort sana kwenye hili kwa kweli huwa wana stage nzuri sana na zenye hadhi huku wakiangazia USALAMA wa wasanii wakiwa kwenye stage, leo tumempoteza papa wemba kwa hall stage collapse dah inasikitisha..

Jamaa hajadondoka toka juu mpaka chini, amecollapse... Ni heart failure i think.

Ingeweza tokea hata akiwa usingizini.... So acha kulalamika.
 
Back
Top Bottom