Muonekano mpya wa Chidi Benzino

Chinga One

JF-Expert Member
May 7, 2013
11,471
12,374
Chidi Benzino katika ubora wake mchizi ana recover kwa uzuri kabisa,eeh Maulana mjalie mja wako ujio mpya...
Screenshot_2016-06-14-18-19-26-1.png
 
Kawa poa kabisa asije rudia tu, naona yupo Gym ya nyumbani kwa DIAMOND ni kweli nini wameshamsajili (WCB) ?????
 
Alafu hii tabia ya kuwataja wanaoacha kubwia sembe kama Mashujaa, mi huwa siielewi kabisa...nadhani kutotumia kabisa ndio ushujaa.
Cut Them Some Slack Sio Rahis Kuquit Kama Unavyodhan Kweli Kutotumia Ni Ushujaa Ila Kuweza Kuacha Ni Ushujaa Zaid
 
jamaa amerecover vizur na kwa haraka sasa ajikeep bize na kazi ya muzic watu tumemiss radha, aache mihadarati
 
Hivi hakuna jinsi ya kufomati ubongo wa hawa watumia madawa ili iwe kama wamezaliwa upya tuanze kuwafundisha kuanzia aeiou?
 
Back
Top Bottom