Bifu la Clouds FM na Sugu laisha rasmi, Clouds yaupiga wimbo wa Freedom

ALWATAN KIZIGO

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
539
642
Leo kwa mara ya kwanza nimeshuhudia wimbo wa Sugu, Freedom ikipigwa kwenye TV ya Clouds kuashiria kumalizika kwa bifu kati ya wawili hao.

Kweli wanaume hawanuniani bali husameheana.
 
afadhali aisee, na sasa ni zamu ya diamond kumaliza bifu na wana mbeya, naskia huwa hafiki kule pamoja na vibe kali wanayoonesha wanambeya kwnye shoo mbalimbali.
 
Bifu limeisha lkn wasanii wengine waliokua na sugu wanaumia..km vipi bora nao wamalize tofauti zao na clouds ..MTU km adili ni mkali sana lkn kapotea
 
Back
Top Bottom