Kagondo
JF-Expert Member
- Jun 6, 2016
- 296
- 79
Tumezoea kwa wasanii wengi wa Bongo fleva / waigizaji (bongo move) kwa kuwajua kwa majina yao ya kisanii.
Wasanii wengi wamekuwa wanatumia kifupi cha majina yao halisi, ila wengine wanakuwa wanatumia majina tofauti kabisa.
Wengi huamini kuwa wangekuwa wanatumia majina yao halisia, wasingeweza kuwa na utofauti wa ki-status hapa town kama ilivyo hivi sasa, hivyo kutengeneza majina wanayotumia kwenye sanaa ya muziki, na kupelekea mashabiki wengi wa wasanii hawa kutojua kabisa majina yao haya,.
# Twambie jina halisi la msanii unayemjua na jina lake la kisanii