Ukitaka kumuoa Lulu lazima uwe na vitu hivi, msikie mwenyewe hapa

YetuMacho

Member
May 31, 2016
16
17
Ikitangazwa shindano la Lulu Husband Search naamini vijana wengi wa kiume watajitokeza kuwania nafasi hiyo moja. Lulu ni mmoja kati ya wadada warembo zaidi hapa Bongo na wanaojua vizuri kuvaa viwalo na wakapendeza.

Ni wengi wanatamani kua wapenzi wa Lulu ila kama utabahatika kua mpenzi wa Lulu basi lazma uwe na sifa hizi alizofunguka Lulu mwenyewe kwenye video hii hapa chini .......
 
Sina hela za kuchezea hivyo, yaani kesi itakapoanza kusikilizwa mfululizo hapo ni kumwaga mahela tu kwa mawakili, halafu mwisho wa siku mke anafungwa jela miaka kumi na tano
 
Pamoja na kusemwa mchawi mpe mtoto akulelee lakini sio Lulu, big NO Kha!! Hapana Mungu apishe mbali.
 
Jinga kweli!, akajifungie chooni kwa saa nzima ndipo aje kujilambalamba. Atasubiria sana hao wanaume anaowataka
 
watu wasio na vigezo tajwa wengine ooh sina hela yakuchezea! yakutumia unayo?
mtu nimuigizagi mnashindana naye hizo ndo drama zenyewe yuko kazini!
 
Hawa dada zetu nashindwa hata kuwalewa!!! kipi wanakijua na ni kipi hawajui kiswahili hawajui hii lugha ya malkia nayo shida, aoongee kimoja ili ijulikane watu waelewe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom