Kwa uzuri huu wa demu mpya wa Diamond Platnumz, Zari atasubiri sana

YetuMacho

Member
May 31, 2016
16
17
Japo kua Diamond amezaa na Zari na kupata mtoto Tiffah, ila kwa sasa kuna tetesi kua Diamond Platnumz anatoka na demu mpya Aitwa Irene. Kwa taarifa zakuaminika kutoka kwa watu wa karibu wa Diamond zinaonyesha ni kweli Diamond anatoka na msichana huyo Toka Mwaka jana.

Sasa huko instagram kumekua na ubishani mkubwa kuhusu nani ni mrembo zaidi kati ya Zari na Irene. Kwa muono wa macho yangu naona Irene aka Bi mdogo ndio mrembo kuliko hata Zari. Hebu tazama video yake hapa kisha niambie nani mrembo zaidi kati ya ZAri na Irene....
 
samsun Kaka!!

Habari hiyo haina tija...Imekaa kiuchokozi na kugombabisha mahusiano ya watu.
Watu wanaocomment Hawana Makosa Kabisa Kabisa....


Habari Za Mda Huu Watanzania Wenzangu!

Katika pitapita yangu, kwenye mitandao ya jamii nimekutana na hii::

kiukweki tutafanya yooote tuyawezayo hapa duniani lakini hiki kamwe hatutakwepa.....


Mungu atusaidie
Kama habari haina tija, vipi kukomenti habari isiyo na tija ndio taifa linapata tija ???
 
samsun Kaka!!

Habari hiyo haina tija...Imekaa kiuchokozi na kugombabisha mahusiano ya watu.
Watu wanaocomment Hawana Makosa Kabisa Kabisa....


Habari Za Mda Huu Watanzania Wenzangu!

Katika pitapita yangu, kwenye mitandao ya jamii nimekutana na hii::

kiukweki tutafanya yooote tuyawezayo hapa duniani lakini hiki kamwe hatutakwepa.....


Mungu atusaidie
Basi nisamehe bure.
 
Uzuri wa Zari na Irene anaujua Diamond, sio wewe. Uzuri wa mwanamke sio sura peke yake, kuna mambo mengi. No wonder imeonekana umeleta habari isiyo na tija.
 
Msichukulie maisha.too.seriusly habari kama.hizi.zinaburudisha.akili, Diamond na.Zari wanjua kuwa.watasema.sana. coz ni masupastaa. Mmaojifanya manaleta habari.zenye.tija.za kuchambua budget, hamuwezi badili.lolote kwenye. budget, so habari.zenu hazina tija.kwa taifa.
 
Ni aibu kwa mtoto wa kiume mwenye miraba minne baada ya kuhangaikia maisha na kuhangaikia maisha ya mwanamume mwenzie anayehangaikia kuiandaa kesho yake.......
 
Back
Top Bottom