Couple mpya mjini, Aslay na Rubi

fungi

JF-Expert Member
Mar 18, 2014
2,539
4,672
Kama wewe ni mmoja wa watu wanaotumia mitandao ya kijamii hususani instagram, najua huenda ukawa umekutana na post za mastaa wa Bongofleva Ruby na Aslay ambazo zinatafsirika kama wapo kwenye mahusiano. Haijajulikana kwa mara moja kama ni kiki au ni serious ni wapenzi ila hii ndio ishu inayo trend kwa sasa
eb29e15a71349fc620c0e243f048fa76.jpg
141a3879e74f9f43ae990e1509994176.jpg
 
Yalaaaaah
 
Back
Top Bottom