Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Huyu ni mke wa zamani wa mfalme wa R n B, Robert Kelly aka R. Kelly. Ni mdada mwenye umri si chini ya miaka 40 lakini she can give young ladies a run for their money when it comes to twerking...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Mtaarishaji wa muziki man water (walter?) amesema anamrudisha msanii 20% kwenye muziki na alikuwa amekwamwa kutokana na wao wawili kukumbwa na matatizo ya kifamilia, lakini wana nyimbo ambazo...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Msanii WA kizazi kipya maluufu kama belle9 ameachia wimbo wake mpya alioupatia jina give it to me.. .pongezi Kwakweli video IPO pouwa.. .
4 Reactions
9 Replies
1K Views
siku kadhaa zimepita tangu zisambae picha ya vanesa na treysong kuonekana wapo chumbani vanesa kamlalia treysong kimahaba kitandani nachojiuliza ni kiki au ni kweli treysong kapita nae vanesa...
8 Reactions
108 Replies
21K Views
Clouds Media Group wamekuwa Mstari wa Mbele kuongoza Speech na kufundisha namna Ya kutumia Fursa! Ili kujiongezea Kipato!!! Sasa ni wakati wa Kutumia Fursa iliyopo mbele yetu! Fursa yenyewe ni...
16 Reactions
54 Replies
6K Views
Hivi karibuni wakati anahojiwa kwenye kipindi cha XXL cha Clouds FM, Diamond alitease ujio wa ngoma ambazo amewashikirisha wanamuziki heavyweight wa Marekani, Rick Ross na Rihanna. Jumatano hii...
1 Reactions
30 Replies
9K Views
Wimbo wa Neyo na diamond umeingizwa rasmi i tune ambako unauzwa kwa pesa, lakini chakustaajabisha ni kuwa watu wengi wameshindwa kuununua wimbo huo kutokana na elimu ndogo ya manunuzi ya wimbo kwa...
5 Reactions
56 Replies
8K Views
Leo nimebahatika sikiliza wimbo mpya wa msanii mkongwe Mike T Clouds FM, unaitwa umenikutaga, hakika jamaa karudi vizuri Sana na wimbo wake utasumbua Sana. Nikiwa Kama shabiki wazamani wa nguli...
1 Reactions
54 Replies
9K Views
Shilole amekuwa na tabia ya kutoka na viserengeti Boy na kila anayekutana naye anampost mtandaoni wakiwa mapozi tata au wakifanya utata utata, Mmoja wa serengeti boy anadai shilole alimkomaia...
2 Reactions
28 Replies
5K Views
Huyu kijana ni talented sana pia anao moyo wakusaidia wenzake ndo maana kila analofanya linageuka kuwa lulu na kuigwa na wasanii wenzake,tangu aingie rasmi kwenye game ya bongo fleva 2009...
4 Reactions
29 Replies
5K Views
Shirikisho la soka barani africa CAF limemchagua diamond platnumz na kumlipa mamilioni kutumbuiza kwenye sherehe za uzinduzi wa michuano ya mataifa africa yatakayofanyika nchini Gabon maarufu kama...
27 Reactions
119 Replies
16K Views
Nimetembelea gazeti la Rai kusoma habari za nyumbani baada ya kukosa magazeti niyapendayo kwenye mtandao. Mimi si mpenzi wa gazeti la RAI kwa sababu baadhi waandishi wa gazeti hili hawapendi...
2 Reactions
8 Replies
5K Views
Nyimbo ya bado ya harmonize imemuwezesha kuwa mtanzania wa pili kufikisha watazamaji million 10 kwa video moja katika akaunti yake ya YouTube
1 Reactions
23 Replies
6K Views
Huyu wa sasa,anatengeneza muziki ambao kama ungekuwa mchele basi ungekuwa ule wa plastic wa china,ama Thailand...unamezeka kwa taabu!Jaribu kurudi nyuma utakuwa juu sana!nimeona Duly amerudi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimekuwa nikifuatilia sana hiki kipindi cha Friday Night Live kinachorushwa kila Ijumaa ya wiki usiku na Sam Misago. Kumekuwa na interview za wasanii mbalimbali lakini nimegundua hiki kipindi ni...
3 Reactions
75 Replies
15K Views
Baada ya kuziona hizi picha, nikawa najiuliza ni nani kamuiga nani....? Nataka kuamini kuwa ni bahati mbaya. Lakini bahati zitakuwaje mbaya zingali vyinyemi. 1. 2.
0 Reactions
119 Replies
25K Views
Leo ni siku ya Kuzaliwa kwa waziri mkuu wa 10 wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ndugu Kasimu Majaliwa. Namtakia heri ya siku yake ya Kuzaliwa na fanaka tele.
4 Reactions
4 Replies
1K Views
Baada a kupatikana kwa taarifa kuwa darasa amepata ajali akiwa katika moja safari zake, asilimia kubwa(si kubwa sana lakini inavuka nusu yao) wamemhusisha diamond na tukio la ajali daresa. Hivi...
10 Reactions
33 Replies
10K Views
[emoji357] [emoji357] [emoji357] [emoji357] [emoji357] [emoji357] [emoji357] [emoji357]
0 Reactions
3 Replies
1K Views
uuuwii huyu jamaa karudia ngada nini? masikini weeeeeee
1 Reactions
81 Replies
15K Views
Back
Top Bottom