Diamond alamba mamilioni ya CAF, Kutumbuiza uzinduzi wa AFCON 2017

brave one

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
4,876
7,366
Shirikisho la soka barani africa CAF limemchagua diamond platnumz na kumlipa mamilioni kutumbuiza kwenye sherehe za uzinduzi wa michuano ya mataifa africa yatakayofanyika nchini Gabon maarufu kama Afcon2017
Michuano hiyo itafanyika mapema mwakani 2017
Uganda ndo taifa pekee ya africa mashariki lililofanikiwa kufuzu
Akiongea kwenye kipindi cha Times Fm manager wa diamond sallam ameongeza kuwa diamond tayari ana booking mpaka julai 2017. Kama unamtaka inabidi usubiri hadi julai
 
Ndio unzuri wa WCB, huku ukisubiri Wasafi Beach Party unakutana na ya AFCON, ukimaliza AFCON unakutana na ya Ne-Yo tour, mwisho najikuta najiimbia kale kawimbo ka [HASHTAG]#Marryyou[/HASHTAG] na kakionjo kake [HASHTAG]#nidekedeke[/HASHTAG]
 

Attachments

  • tmp_11410-Diamond Platnumz Ft Neyo – Marry You-1907670636.mp3
    3.8 MB · Views: 50
Back
Top Bottom