Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Baada ya kuonekana kwenye tuzo akiwa alone na kuulizwa yupo wapi jamaa yake na kuwa mkali, wambea wamedai huenda mrembo huyo ametemwa na jamaa yake huyo, kutokana na yeye ku demand sana uwepo wake...
3 Reactions
46 Replies
12K Views
Muziki wa Tanzania utakufa kama mashabiki na vyombo vya habari vitabaki kitukuza watu wawili tu. Mashabiki yawapasa kutambua kuwa kuna vipaji vingi sana Tanzania na vinahitaji sapoti yao ili...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Weekend well spent My playlist 1. Kidogo - Diamond Feat P Square 2. Matatizo - Harmonize 3. Salome - Diamond Feat Rayvanny 4. Natafuta Kiki - Rayvanny 5. Kwetu - Rayvanny 6. Bado - Harmonize Feat...
6 Reactions
20 Replies
4K Views
Super model of Tanzania Fideline Iranga (in black) you rock babe!
1 Reactions
61 Replies
27K Views
Habari za leo, Nimepokea taarifa hii kwa masikitiko, ile documentary aliyoiandaa Diana Lukumay ya Genital Female Mutilation, ambayo imempa unique platform kwakuwa ni sensitive issue ambayo...
6 Reactions
30 Replies
4K Views
Baaada ya kupitia kufanya utafiti kwa miaka kadhaa na kupitia maandiko kadhaa ya wanazuoni tofauti tofauti wa masuala ya urembo, nimejiridhisha kabisa (beyond reasonable doubt) kuwa miss Tanzania...
13 Reactions
38 Replies
5K Views
Baada ya kuandamwa sana ana matatizo ndio maana hajawahi kuonekana na mwanamke na hana hata mtoto wa kusingiziwa na Nay wa Mitego, Kisha Diamond kuandika kuwa aligoma kumpumulia ndio maana ana...
1 Reactions
17 Replies
5K Views
Unafiki mbaya sana.... Utasikia:- "So sad" "Jamani inaumiza sana" "Mwili wangu wote umesisimka" Simply because ni Mtoto wa Kizungu. Ni unafiki wa kipuuzi sana. Ndio maana hata viongozi...
12 Reactions
43 Replies
5K Views
Mfanyabiashara mkubwa jijini Dar es Salaam na mmiliki wa vyombo vya habari (blog ya wananchi na live straight talk) ndg Lemutuz anatoa hela kwa shindano alilolianzisha na hivyo wataalam wa mambo...
7 Reactions
79 Replies
17K Views
Wamependeza wenyewe....... Neno lolote kwao.....
7 Reactions
122 Replies
32K Views
Tangu kutolewa kwa tuzo za EATV awards vituo vya eatv na ea radio vimekuwa havipigi nyimbo za msanii wowote wa WCB wala kutoa habari zao Tetesi zinasema kitendo cha WCB kutoshiriki tuzo hizo...
6 Reactions
128 Replies
25K Views
Habari za mida hii wadau wa jukwaa hili, Swali langu kwa mwenye kuelewa vyeo vya WCB pale kwa diamond, naona kuna viongozi wengi ila sijajua vyeo vyao Babu tale anacheo gani? Fella ana cheo...
0 Reactions
39 Replies
9K Views
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Nipo naangalia Ntv ya Kenya kwenye kipindi chao cha uchambuzi wa sanaa na wasanii maarufu kama UDAKU wameongelea tuzo za Eatv na wamezisifia. Wakasema pia sababu za Diamond kutokuwepo kwenye...
6 Reactions
28 Replies
4K Views
Kupitia akaunti yake ya Instagram, Diamond Platinumz amethibitisha kwamba WCB watatoa nyumba tano kama mchango wao kwa waathirika wa mafuriko Iringa.
2 Reactions
41 Replies
7K Views
Tumpigie miss Tanzania aweze kushinda Miss World. Tanzania kuna watumiaji wengi wa mitandao hivyo tuitumie hii fursa kumsapoti mrimbwende wetu 2016 ili awe katika nafasi nzuri. Ingia hapa...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Kuna nyimbo ambazo binafsi nikienda kwenye sherehe mbalimbali haswaa harusi ni nadra kuzikosa, hii inatokana pengine na kukubalika na wengi, na hii inaweza kuwa ni njia nzuri ya msanii kujifanyia...
1 Reactions
83 Replies
35K Views
Kwa wiki sasa nimekuwa nikiitazama hii Tv stesheni ya TV E.Kiukweli niseme nawapa sifa zifutazo:- 1. Logo yao ni nzuri sana na waliodesign hii logo nawapa credit za kutosha.Ukiangalia logo ya...
4 Reactions
49 Replies
5K Views
Back
Top Bottom