Kufuatia uwepo wa madai kwamba wapo waganga wanaotumika kuwaroga wasanii, hususan wale ambao nyota zao zipo juu, Kitengo Maalum cha Oparesheni Fichua Maovu (OFM) cha Global Publishers kimeingia...
Muimbaji wa muziki wa injili, florah mbasha amesema yupo tayari kurudiana na mume wake emmanuel mbasha, ikiwa atakwenda kumuangukia mguuni na kumuomba msamaha.
Florah alisema hayo alipozungumza...
Wakuu, kwa sasa naona usanii unapitiliza.
Mimi si timu alikiba wala mavi kunuka gani sijui wala chama sina. Nakosoa panapohitajika.
Diamond hapa unachemka, atakayeiskia hii nyimbo atajua direct...
watanzania ni watu wa ajabu sana .wanalalamika kwamba miss tanzania 2016 kapigwa chini na ile project yake ya masai dondosha wembe na kuchukuliwa na miss kenya si kweli
Masai dondosha wembe ni...
Ninavyomjua mimi ROMA ni msanii ambaye alianza na nyimbo za kiarakati
Yaani aliifanya HIP HOP yake kuwa kama njia ya kuikosoa serikari .
Mashairi ya nyimbo zake yalilenga zaidi kuelezea...
Msanii wa kike aliyewahi kutikisa kupitia muziki wake kwa ufundi wa kukata viuno akiwa stejini mwanadada Ray C yuko mbioni kurudi tena kwenye game na tayari ameshafanya ngoma tano na zinatarajiwa...
Gazeti ya the guardian la uingereza litemtoa nyimbo kali za mwaka 2016 zilizotikisa africa.
Katika orodha hiyo tanzania imebahatika kuingia nyimbo 1 tena ikishika nafasi ya 2,
Diamond platnumz...
Hatua aliyofikia msanii Darasa imenikumbusha miaka kama 6 iliyopita wakati msanii 20% alipofikia kiwango chake cha juu mno kimuziki,pamoja na kuwa 20 pa alikuwa na nyimbo nzuri kama maisha ya...
Naomba kujua wanajf kwa wafatiliaji wanafahamu kuwa darasa ni mmiliki wa rekodi lebo iitwayo CMG yan Classic Music Group na kwa wakati huohuo cloudsmedia wanafahamika km CMG yaan Clouds Media...
WCB chini ya CEO wake anaejua mziki na kutafuta pesa ni hatari chafu kabisa,hii ya jangwani beach party ni zaidi ya fiesta...naamini atakonga nyoyo za mashabiki wake.wasanii wengine wajifunze kuwa...
Baada ya maneno mengi kutoka kwa mashabiki wa upande wa pili kuwa ommy hapigi mechi na pia hawamjui shemeji
Ommy dimpoz ameamua kuweka picha ya shem wetu wakiwa pamoja
Hata hivyo picha hiyo...
Jamaa na nyimbo mbili za gospel nizijuazo mm ila zote kali hasa hii ya juzi la Christmas nahisi mkali gudluck Gosbert ajikaze sana na akaze mkanda
Walter hajawahi kukosea ni bahati tu hana....
Kuhusu Ommy Dimpoz,Alikiba na Mr Nice,yamezungumzwa haya na Meneja wa Diamond.
Times Fm imepata nafasi ya kufanya Exclusive interview na Sallam ambaye ni moja kati ya Mameneja wa Diamond...
Ama kwa hakika masikio yetu yalisikiliza nyimbo mbili ndani ya huu mwezi mpka nafikiri wengine walianza kuchoka. Kila kona ilikuwa ni Salome ya Diamond au Muziki ya Darasa.
Sasa Belle 9 ni kama...
Baada ya vuta nkuvute za hapa na pale about ishu ya young D kumkana mwanae.....the man aliomba radhi na kuelezea kilichotokea...Well kaamua rasmi kuprove kwamba amempokea mwanae na yuko nae poa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.