Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

December 26, 2016 Sauti ya Mmanyema ikivuma Ulaya lakini haifahamiki nyumbani Tanzania ya mwanamuziki maarufu wa Kitanzania kwa jina Saidi Tumba a.k.a Saidi Kanda aliyekuwa mpiga tumba maarufu wa...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
huyu jamaa alikuwa kiboko ya mabishoo...tungo zake zilikuwa zina elimisha na pamoja na kuburudisha.. nyimbo ya starehe ilimpa mpaka miradi ya ngo za ukimwi..kwa mpunga aliochota tu kwa ajiri ya...
0 Reactions
21 Replies
13K Views
Tunda bhana ni msichana au video queen pekee anaye jielewa TZ nzima tofauti na video queens wengine kama Masogange, Amber Lulu, Gigy money nk Sifa kuu inayomtofautisha Tunda na video queens...
6 Reactions
151 Replies
40K Views
Mwaka huu 2016 ulikuwa mwaka wa wcb wasafi kwenye burudani hapa bongo. Wasafi ni kama bongofleva sasa imekuwa kama ya kwao jinsi wanavyoitawala wanavyotaka. Angalia kila ngoma walioachia kwao...
6 Reactions
26 Replies
5K Views
AJE aly kiba PERFECT COMBO joh makini KAJIANDAE ommy dimpoz NITAMPATA WAPI dimond platnums SKENDO mo music MBOGA SABA mr blue TOO MUCH darasa NISAMEHE baraka the prince KWETU rayvanny...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Alitembelewa na huyo mwandishi hadi anapokaa
4 Reactions
28 Replies
10K Views
Habari za jioni wana jamvi....leo katika pekuapekua yangu ya filamu za kihindi za wakati huo nimekutana na filamu inaitwa ROHA...Nikaona sio mbaya tukikumbushana mtu mmoja anaekwenda kwa jina la...
4 Reactions
47 Replies
17K Views
Wapo watayarishaji wengi na wazuri wa muziki nchini Tanzania, lakini Sheddy Clever wa Burn Records ndiye aliyebahatika kuchaguliwa na Diamond Platnumz kwenda Nairobi kusimamia zoezi zima la...
1 Reactions
10 Replies
5K Views
Maneno ya tunda kwenda kwa vitu vya ajabu
1 Reactions
62 Replies
12K Views
Ni Mo Music, amefuatliwa kisha ameshushwa kwenye gari na madalali wa benki, ishu pengine ni mkopo
1 Reactions
6 Replies
4K Views
ali kiba amedai kuwa dully sykes ndie mt aliyemhimiza kuimba na kumtia moyo kipindi ambacho hajatoka na alikuwa akimtoa hadi machozi, asipotokezea Dully anamuibukia nyumbani kwa kuwa alikuwa hana...
8 Reactions
30 Replies
5K Views
Nimekuwa nikioata hasira sana ninapoenda kwenye show za wasanii mbalimbali halafu ninachoambulia ni kuwa disappointed!Unakuta msanii anavyoimba mpaka wakati mwingine unajiuliza hivi ni yeye kweli...
0 Reactions
5 Replies
983 Views
Ndio nimetoka uwanja wa Samora. Show imeisha saa kumi. Kilichotokea leo sidhani kama imewai tokea hivi Iringa ni zaidi ya Fiesta. Diamond kaua isivyo kawaida watu walikuwa wengi hakuna pa...
11 Reactions
25 Replies
4K Views
Msanii wa muziki wa hip hop, Mwana FA amesema hatua ya mafanikio ya wimbo ‘Muziki’ wa Darassa ni hatua ambayo wasanii wengi wa muziki wa hip hop walishindwa kuifikia kwa muda mrefu. Rapa huyo...
7 Reactions
139 Replies
19K Views
Shilole amejigamba kwa kudai kuwa hakuna msanii mzuri kama yeye, kwani ana uzuri wa asili bila vipodozi. Alikuwa akizungumza katika kipindi cha 5SELEKT cha EATV Jumanne hii. “Mimi ni mwanamke...
4 Reactions
151 Replies
33K Views
Anaitwa Bradley Lowery.. Ni shabiki wa kutupwa wa Sunderland.. Ana miaka mitano duniani na tayari madaktari wamethibitisha kuwa amebakiza miezi miwili tu kabla kansa haijakatiza pumzi zake na...
9 Reactions
67 Replies
8K Views
Ile sketi kiboko, Yani sikuielewa design imejikunja, design imejibinua na sijui alikua hajanyoosha hata Nguo zenyewe, maana mhh ile Ni mpya akachapa na Viatu vya njano sijui bluu kweli tulipeleka...
20 Reactions
207 Replies
31K Views
Jamaa analamba mtoto J.lo ingawaje kazeeka lkn si haba!
2 Reactions
47 Replies
5K Views
Imebainika kwamba waimbaji wa muziki wa Injili nchini, Flora Mbasha na mumewe, Emmanuel Mbasha hawajapatana kama ilivyodaiwa awali na taarifa zinasema kuwa mwanadada huyo ameanza maisha yake...
0 Reactions
32 Replies
6K Views
Baraka da prince aliumbuliwa vibaya kwenye studio za East Africa Radio baada ya kualikwa yeye na msanii waliyekuwa studio moja huko Mwanza, msanii huyo alisema baraka alimuibia nyimbo ya 'Baby sio...
5 Reactions
55 Replies
14K Views
Back
Top Bottom