Mashabiki wanao Mshindanisha Diamond na wasaniinwengine Wa bongo hii ndo Fursa

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Sep 6, 2014
3,327
2,000
Clouds Media Group wamekuwa Mstari wa Mbele kuongoza Speech na kufundisha namna Ya kutumia Fursa! Ili kujiongezea Kipato!!! Sasa ni wakati wa Kutumia Fursa iliyopo mbele yetu! Fursa yenyewe ni WASAFI BEACH PARTY ya tarehe 24 na 25!

Wale mashabiki na wapenzi wa muziki ambao huwa wanamshindanisha Diamond na wasanii wengine wa bongo ni wakati wao wa kutumia fursa hii ya Kuwashawishi wasanii wano washindanisha na Diamond kuwashauri na Kuwaomba kwa kila Namna nao wafanye show siku ya tarehe 24!

Hii itakuwa fursa kwao kwasababu watapata mashabiki wengi sanaaa kuliko Diamond ambae hajui kuimba na anabebwa na Kollabo za watu!!!! Diamond show si ipo Jangwani sasa mwingine aweke show mbagala au learders au kiwanja kingine hapa Dar.....Tena yeye apunguze kiingilo Diamond anafanya Laki kwa elfu 30 hao wengine wapunguze wafanye kiingilio hata 20!! Watakuwa wametumia Fursaa na watapiga hela sanaaa

Diamond si ana show iringa Basi wale wasanii wanao shindanishwa na Diamond kwa kusema wanatoa nyimbo kali na wanasauti za kuimbia nao waweke show pale pale iringa mjini daimond anafanya elfu 10 wao washushe hadi 5000 hiyo ndo kutumia fursaaa

NJE YA HAPO BASI BLAAAAH BLAAAH hatutaki kuzisikiaaaa
 

isho_boy

JF-Expert Member
Sep 22, 2015
2,145
2,000
Huo sasa siyo ushindani ni uchawi kabisa mnataka mrudi tena humu kulalamika mmefanyiwa fitina... Nyie pigeni show sisi tupo bussy na mambo yetu
Hamna huo ubavu ndo maana show zen hubuma daily mfano mwendokasi na kiroba festival zilibuma
 

G 6

JF-Expert Member
Nov 7, 2016
508
250
Hamna huo ubavu ndo maana show zen hubuma daily mfano mwendokasi na kiroba festival zilibuma
Tatizo timu yenu wote mna roho mbaya ndiomaana hata wewe umeona hiyo Idea iko sawa... tupo busy na mambo yetu ya msingi na nyie fanyeni yenu
 

isho_boy

JF-Expert Member
Sep 22, 2015
2,145
2,000
Tatizo timu yenu wote mna roho mbaya ndiomaana hata wewe umeona hiyo Idea iko sawa... tupo busy na mambo yetu ya msingi na nyie fanyeni yenu
Hamna jipya mjini nenden msituni nyie c wadogo sake bush man
 

mzaramo

JF-Expert Member
Sep 4, 2006
6,343
2,000
Mapovu yanawatoka.....wengine hawana roho mbaya kama nyie.

Nyie fanyeni show yenu kwa uhuru tu hakuna hakaewafanyia ujanja ujanja.

Ila mkae mkijua bila Darassa kuwepo kwenye show haji mtu huko.
 

six packs

Member
Dec 23, 2015
62
150
Mapovu yanawatoka.....wengine hawana roho mbaya kama nyie.

Nyie fanyeni show yenu kwa uhuru tu hakuna hakaewafanyia ujanja ujanja.

Ila mkae mkijua bila Darassa kuwepo kwenye show haji mtu huko.
Mkuu unazungumzia huyu darasa ambaye show zake ni za kwenye clubs kiingiingilio 5000 au 10000 ??? hahahaha makelele ya mtaani yanawawehuwa watu nyeusi unaiona kama nyeupe..
 

screpa

JF-Expert Member
Sep 10, 2015
9,402
2,000
Diamond atanunua mashabiki ili wajae kwenye show, kwanza sisi sio watu wa show off x-mass tutajifungia ndani na mabeibe
 

homboyz

Senior Member
Oct 19, 2016
126
250
Mhh kama sielewi, au na mashabiki zao sio watu wa showoff
Diamond hakubaliki bongo ila ndo msanii pekee anapiga show kiingilio bei kali na anajaza,
Wanaokubalika kiingilio bei chee na bado show zinabuma
 

ze-dudu

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
11,688
2,000
Ule Utafiti wa 1:4 ulishamaliza kila kitu nchini kilichobaki ni kuanza kujionea tu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom