Chibu Dangote -SIMBA

Aug 2, 2011
49
125
Huyu kijana ni talented sana pia anao moyo wakusaidia wenzake ndo maana kila analofanya linageuka kuwa lulu na kuigwa na wasanii wenzake,tangu aingie rasmi kwenye game ya bongo fleva 2009 ameshafanya makubwa mengi na kusemwa sana lakini hakati tamaa,kila msanii wa Tanzania anataka kuwa kama Chibu..kila ngoma anafit tena vizur kabisa sijawahi ona msanii kama huyu anaebadilika kila wimbo anaoutoa,ngoma ya Chege "Waache waoane" alinikosha sana nimeikumbuka leo...Keep going Simba ulitoa salome ya Saida saiv kila msanii anaetoa nyimbo lazima amkumbuke mama Saida Karoli...endelea kuwanyoosha na kuwafungulia njia Simba mzee wa kusimamia show mwenyewe Wasafi beach party,siyo kama wale wanaotumia mda mwingi kutengeneza koo na kuimba kama wanaimba nyimbo za kaswida.
 

Waberoya

Platinum Member
Aug 3, 2008
14,673
2,000
Usichachawe na wasanii wa msimu hao mzee.japo Darassa amefanya kazi nzuri na anafaa kupewa sifa zote..ila still bado sana kumlingalisha na gwiji la mziki wa Tanzania.
Gwiji la muziki wa Tanzania ni nani? ebu acha kuchekesha watu mkuu

na wewe mrembo?
 

Waberoya

Platinum Member
Aug 3, 2008
14,673
2,000
Sizungumzii wimbo mkuu..

Nazungumzia jinsi washabiki wa "K" walivyokimbilia wote kwa Darasa
aisee hizi akili ndo za akina CCM na walevi wa madaraka

so you mean hakuna mshabiki wa diamon anayempenda darasa? wewe ni robot?

ali kiba anaingiaje hapa?

inauma eeh!

Tunapeleka gemu to the top top

sio simba sio chui sio mamba , ngozi yangu inatosha kujigamba

FYI, I like all songs of wasafi na nina zisikiliza muda wote! ( note down)

ila comment yako imeniangusha mzee


Muziki tu, ndio utaweza kuwainua watu, kuwaunganisha na kuwa peleka to another level

pure african stupid mind za kuchukia mtu anapofanikiwa sio nzuri

acheni magroup vijana

Nilitaka kumpa joto mwanzilishi wa hii thread awe na free mind, any good music is good for the soul..na thread yake ameiweka kimkakati ili wewe utumbukie na makundi


acheni blah blah weka muziki!!!

nasikiliza rayvanny boy -sugu!
 

pistmshai

JF-Expert Member
Dec 12, 2016
1,315
2,000
Kaka ukiona mtu anatoa maelezo meng jua jiwe limempata muhusika
mi hata cjasoma riwaya yote..
nilipoona tu mipasho mistari michache ya kwanza
nikataka nijue ameshia wapi..
nikajikuta nimescroll down hadi X 5

nikawa nshajua
nshaumiza mtu tayari...
 

Waberoya

Platinum Member
Aug 3, 2008
14,673
2,000
mi hata cjasoma riwaya yote..
nilipoona tu mipasho mistari ya michache ya kwanza
nikataka nijue ameshia wapi..
nikajikuta nimescroll down X 5

nikawa nshajua tayari
nshaumiza mtu...
uswahili huo mkuu!

ulitaka ujibiwe mstari mmoja wa majibu ya kunya?

why killing chatting? mbona uko kishari shari mkuu, unaingiza hela?

furahia maisha!!
 

Chige

JF-Expert Member
Dec 20, 2008
10,468
2,000
darasa? wewe ni robot?

ali kiba anaingiaje hapa?

inauma eeh!
Ali Kiba kaingiaje tena!!! Maajabu haya... sasa mada ni ya Diamond; sasa nini kimekufanya ulete habari za Darasa?! Una tofauti gani na mtu aliyeleta habari za Kiba? Na kwa kufuatilia mjadala, wewe ndie wa kwanza kujitoa ufahamu kwa kuingiza suala la msanii mwingine kwenye mjadala unaohusu mssanii mwingine!!
Nilitaka kumpa joto mwanzilishi wa hii thread awe na free mind, any good music is good for the soul..na thread yake ameiweka kimkakati ili wewe utumbukie na makundi
Tangu lini kuwa na free mind kukamzuia mtu kuelezea kile anachoamini ni bora kwake?! Tangu lini kuwa na free mind kukazuia mtu kuandika thread ya kimkakati as you claim?
 

Freeland

JF-Expert Member
Jan 24, 2012
14,492
2,000
Ali Kiba kaingiaje tena!!! Maajabu haya... sasa mada ni ya Diamond; sasa nini kimekufanya ulete habari za Darasa?! Una tofauti gani na mtu aliyeleta habari za Kiba? Na kwa kufuatilia mjadala, wewe ndie wa kwanza kujitoa ufahamu kwa kuingiza suala la msanii mwingine kwenye mjadala unaohusu mssanii mwingine!!
Tangu lini kuwa na free mind kukamzuia mtu kuelezea kile anachoamini ni bora kwake?! Tangu lini kuwa na free mind kukazuia mtu kuandika thread ya kimkakati as you claim?
hahaha . ..k ni k buana
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom