Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Yule wa WCB. Kiukweli naye huyu sikjua katokea wapi, mara nikamwona kasajiliwa na Wasafi. Nikimsikiliza nasikia kile ninachopenda kusikia, yaani sauti nzuri ya uanamuziki. Nikajisemea kuwa Diamond...
7 Reactions
32 Replies
8K Views
December 31. 12. 2016 10 of the biggest African tracks of 2016: Tekno,Diamond Platnumz ,Babe Wodumo and more From Diamond Platnumz’s update of a Tanzanian classic to an ode to dirt-cheap South...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Inahitaji nguvu ya ziada kufikisha views milioni 2 kwa mwaka mwenye mtandao wa Youtube. Tumekuandalia orodha ya video 16 za wasanii wa Bongo zilizotazamwa zaidi mwaka 2016. Hizi ni zile ambazo...
5 Reactions
25 Replies
5K Views
Wasanii wengi wa Bongo Flavour wameamua kujiunga na kufanya music pamoja kama makundi. Ni jambo jema na zuri kabisa. Tunapata music mzuri wenye radha nzuri tofauti kutoka kwao. Wanasaidiana na...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Edo Kumwembe Chid Benzi anatushangaa tunavyomshangaa Na Edo Kumwembe NI zaidi ya kujikuta juu ya kitanda na msichana unayempenda kuliko wote duniani. Ni zaidi ya kutazama bao la ushindi la timu...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
RIP JOHN au BIG JOHN ni Mwigizaji toka Bongo movie na filamu yake ya mwisho kama wataka kumjua ni BARMED ya Nice na Irene Owoya aliact kama Boss wa bar ambae alimpa ukimwi Irene Uwoya nazani...
0 Reactions
19 Replies
24K Views
Kwa wimbo wa kidogo ya p-squaere x Diamond platanzania. #VodacomKaziNiKwako
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Vijana wa Nkunda all stars wakifanya trap ya kisukuma
1 Reactions
12 Replies
7K Views
Mpaka sasa yupo kimya; Nasubiri kwa hamu sana mashairi ya Awamu hii ya Msanii Huyu nguli;
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Picha za Ray C akiwa ndani ya muonekano mpya wa kihindi Huenda huu ukawa ndio ujio mpya wa msanii mkongwe wa muziki wa bongofleva Rehema Chalamika aka Ray C baada ya misukosuko ya hapa na pale...
2 Reactions
71 Replies
21K Views
Kuna uzi humu lara 1 anaelezea jinsi makampuni yalivyopotoka kumtumia Diamond kwa matangazo yake kama humaniser. Uzi wenyewe ni huu: Pale makampuni ya Bongo yanapokurupuka kumuendorse Diamond...
10 Reactions
249 Replies
39K Views
Chid Benz amerudia tena madawa ya kulevya na yupo kwenye hali mbaya Mwana Fa alimuomba Babu Tale wamsaidie msanii huyo hivi karibuni lakini Babu Tale akasema hatomsaidia tena kwa kuwa Chid Benz ni...
8 Reactions
199 Replies
26K Views
Msanii mkali toka THT Mwasiti Almasi yasemekana amenyang'anywa Benz alilokuwa akitamba nalo hapa mjini baada ya kutoonekana nalo kwa muda Akihojiwa kuhusu swala hilo amesema yeye huwa haongelei...
3 Reactions
78 Replies
15K Views
Ni kawaida ya wasanii kupokezana vijiti yani kutesa kwa zamu. Kama ilivyokuwa game ya video ilikuwa ya Adam Juma na sasa kamuachia Hanscana... Marco Chali kamwachia Nah real kwenye audio...
4 Reactions
108 Replies
16K Views
Well, well, this one is big! Baada ya yeye mwenyewe pamoja na meneja wake Sallam kuthibitisha kuwa kuna collabo ya Diamond pamoja na mega superstars wa Marekani, Rihanna na Rick Ross, hitmaker...
2 Reactions
39 Replies
7K Views
Huyu alikuwa producer mkali wa mziki ambaye aliibuka kipindi ambacho akina majani walianza kupotea kipindi ambapo waliibuka ma producer wengi kama mako chali, nah real naye na wengine...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Mmh kumbe nayeye ana kitu yake kutoka Kwa Kagame? Hivi kumbe Amani alichezewa tuu? Huyu na Amani nani mkali? [emoji16]
2 Reactions
137 Replies
20K Views
  • Closed
Mwanadada Mange Kimambi amefunguka kwa hisia kali kabisa kuwa anatamani aone babu Seya ananyongwa mpaka kufa kwa kuwa adhabu ya kifungo cha maisha walichompa ni kidogo sana kulinganisha na kitendo...
5 Reactions
49 Replies
12K Views
Dece 13, 2016 Binti Mtanzania aliyelipwa BILIONI 1 Ufaransa kwa kazi ya siku 1 Herieth Paul ni Binti Mtanzania mwenye umri wa miaka 20 tu lakini jina lake limekua kubwa kila kukicha nchini...
6 Reactions
83 Replies
17K Views
Msanii wa Hollywood Debbie Reynolds amefariki akiwa na umri wa miaka 84, siku moja tu baada ya kifo cha binti yake, Carrie Fisher. Alikimbizwa hospital baada ya kushikwa na ugonjwa nyumbani kwa...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom