Hizi ndizo video 16 za wasanii wa Bongo zilizotazamwa zaidi kwenye Youtube mwaka 2016

mr gentleman

JF-Expert Member
Aug 1, 2012
2,863
2,000
Inahitaji nguvu ya ziada kufikisha views milioni 2 kwa mwaka mwenye mtandao wa Youtube.

Tumekuandalia orodha ya video 16 za wasanii wa Bongo zilizotazamwa zaidi mwaka 2016. Hizi ni zile ambazo zina zaidi ya views milioni 2 peke yake.

1. Diamond f/ Raymond – Salome
Imetoka: Sep 18, 2016
Views: Milioni 11
Comments: 7,329

2. Harmonize f/ Diamond – Bado
Imetoka: Feb 29, 2016
Views: Milioni 10
Comments: 3,310

3. Diamond f/ P-Square – Kidogo
Imetoka: Jul 12, 2016
Views: Milioni 8.2
Comments: 5,032

4. AY feat. Diamond – Zigo Remix
Imetoka: Jan 22, 2016
Views: Milioni 8.1
Comments: 3,636

5. Diamond and AKA – Make Me Sing
Imetoka: Feb 12, 2016
Views: Milioni 5.8
Comments: 3,054

6.Raymond – Kwetu
Imetoka: Apr 14, 2016
Views: Milioni 5.2
Comments: 2,886

7. Alikiba – Aje
Imetoka: May 19, 2016
Views: Milioni 5.1
Comments: 4,394

8. Harmonize – Matatizo
Imetoka: Jul 4, 2016
Views: Milioni 4.4
Comments: 3,093

9. Sauti Sol and Alikiba – Unconditionally Bae
Imetoka: Mar 10, 2016
Views: Milioni 4.1
Comments: 3,161

10. Dully Sykes f/ Harmonize –Inde
Imetoka: Aug 11, 2016
Views: Milioni 3.8
Comments: 1,761

11. Chege f/ Diamond – Wache Waone
Imetoka: Aug 4, 2016
Views: Milioni 3.5
Comments: 1,682

12.Raymond – Natafuta Kiki
Imetoka: Aug 31, 2016
Views: Milioni 3
Comments: 1,406

13. Rich Mavoko – Imebaki Story
Imetoka: Jun 2, 2016
Views: Milioni 2.7
Comments: 2,135

14. Darassa ft Ben Pol – Muziki
Imewekwa: Nov 23, 2016
Views: Milioni 2.4
Comments: 2,613

15. Navy Kenzo – Kamatia
Imetoka: Jan 27, 2016
Views: Milioni 2.38
Comments: 1,023

16. Alikiba – Lupela
Imetoka: Feb 7, 2016
Views: Milioni 2.37
Comments: 2,785

Source Bongo 5
 
Wamunzengo

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
810
250
tatizo kiba analazimishwa na kina sepetu, jokate apambane na mondi, ila kiuhalisia kiba alikuwa keshastaafu zake analea wanae. muda sio mrefu atarudi kulea wanae aachane na muziki.

mwenye usongo na mafanikio makubwa kimuziki kwa hapa bongo sa'hv, kiukweli ni Mondi. kubali usikubali. Mondi sa'hv anawaza kufanya kolabo na jay z, which means bado anatamani kwenda mbali.

wakati kiba ndo kwanza anaenda ku perform kwenye baa halafu saa 8 za usiku, sasa huyu kweli anajitambua.?
 
ntemintale

JF-Expert Member
Sep 6, 2016
935
1,000

Sijaona popote katika post hii ilipotamka mambo ya kupambana. Tabia yako imekaa kupambana pambana tu. Kuna uwezekano mkubwa wewe unaoambana mpaka na mwenzi wako. Acha ubazazi.
 
Infopaedia

JF-Expert Member
Oct 28, 2011
1,071
2,000
Halafu na nyie bana, sijui mmesomea shule ya kata gani. Time ni factor kubwa sana. Harmonize ft Diamond kwa mwezi ana viewer M1, kawa namba 2. Darasa kwa mwezi ana viewers M2 kawa wa 14. Halafu mnasema mmetuandalia, mmeandaa.....au mmekurupuka!
 
mzaramo

JF-Expert Member
Sep 4, 2006
6,343
2,000
tatizo kiba analazimishwa na kina sepetu, jokate apambane na mondi, ila kiuhalisia kiba alikuwa keshastaafu zake analea wanae. muda sio mrefu atarudi kulea wanae aachane na muziki.

mwenye usongo na mafanikio makubwa kimuziki kwa hapa bongo sa'hv, kiukweli ni Mondi. kubali usikubali. Mondi sa'hv anawaza kufanya kolabo na jay z, which means bado anatamani kwenda mbali.

wakati kiba ndo kwanza anaenda ku perform kwenye baa halafu saa 8 za usiku, sasa huyu kweli anajitambua.?
Hivi kwanini wanawake huwa mna tabia za chuki chuki,wivu na maneno ya hovyo hovyo namna hii?!
 
Roger Sterling

JF-Expert Member
May 10, 2015
12,311
2,000
Halafu na nyie bana, sijui mmesomea shule ya kata gani. Time ni factor kubwa sana. Harmonize ft Diamond kwa mwezi ana viewer M1, kawa namba 2. Darasa kwa mwezi ana viewers M2 kawa wa 14. Halafu mnasema mmetuandalia, mmeandaa.....au mmekurupuka!
Kwani mada inasemaje?
 
Infopaedia

JF-Expert Member
Oct 28, 2011
1,071
2,000
Kwani mada inasemaje?
Acha kunichosha basi jamaa yangu. Hujawahi kusikia shule 'A' wanafunzi 55 wamefaulu. Na shule 'B' wanafunzi 12 wamefaulu. Lakini ukaambiwa shule 'B' imeongoza kwa wingi wa wanafunzi waliofaulu!. Huwa unashangaa sana.
Kama wimbo umetoka January na mwingine umetoka December, unatakiwa utafute mlinganyo ili kuweza kuamua juu ya hizi nyimbo 2. Kinyume cha hapo utakuwa si muelewa, ama umeamuwa tu kuudhalilisha 1 month old wimbo dhidi ya 1 year old wimbo.
 
Una-complicate mambo tu. Wamesema nyimbo zilizotazamwa zaidi mwaka 2016, sio nyimbo zilizotazamwa kwa kasi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom