Tetesi: Diamond afanya collabo na Jay Z!

Msolo

JF-Expert Member
Oct 19, 2008
2,342
3,002
Well, well, this one is big! Baada ya yeye mwenyewe pamoja na meneja wake Sallam kuthibitisha kuwa kuna collabo ya Diamond pamoja na mega superstars wa Marekani, Rihanna na Rick Ross, hitmaker huyo wa Salome ametease kuwepo kwa nyingine na samaki mkubwa zaidi kwenye bahari ya muziki wa Marekani.

15258620_1454017111294721_1203758597243142144_n-2.jpg

Akiongea hivi karibuni na mtangazaji wa Clouds FM B-Dozen kwenye show yake ya Beach Party Jangwani Sea Breeze, Diamond alisema, “[Kitu] ambacho sijakifanya, ni kutoshoot nyimbo yangu na Jay Z, yawezekana ikawa ni tatizo hilo pia labda,” alisema na kusababisha shangwe kutoka kwa watu wengi waliokuwa wakisikiliza mahojiano hayo.

Dozen alimuuliza,” Unataka kusemaje, kwamba una collabo na Jay Z?”
“Ahh Dozen tuishie hapo,” alijibu Chibu kwa kicheko. Kabla ya Dozen kumalizia,” halafu huyu hapa anatuachaga hivi hivi kila siku yaani.”

Kama asemacho Diamond kina ukweli wowote, hiyo inaweza kuwa silaha nyingine ya kuringishia katika career yake, sababu Jigga si mtu wa mchezo mchezo kumpata kirahisi kwa collabo, hata Wamarekani wenzake kumshirikisha ni bahati!

DJ Khaled na ukubwa wake wote, alitumia mwaka mzima ili kumpata kwaajili ya kumshirikisha kwenye album yake ya mwaka huu, Major Key.

Source: www.bongo5.com
 
kwani huyu siniliskia anacollabo na neyo pia je wimbo ulitoka? au nao umesha tupwa kapuni na ngoma ya CMG muziki
 
Story highlights:



Diamond Platnumz asked for a 15-minute
meeting with Donald Trump,

A transition aide says Diamond and his wife attended a fundraiser for Democratic presidential nominee Hillary Clinton Washington (CNN) — Diamond Platnumz met with President-elect Donald Trump on Tuesday, 2 january 2017 after he was spotted arriving
at Trump Tower in New York City, only days after the singer first came back into the public eye following his hospitalization. Trump spoke to reporters
with Diamond by his side, calling the Platnumz a "good man" and telling journalists that they
have been "friends for a long time." While Diamond would not discuss the details of the meeting ignored questions about
whether he plans on
performing at Trump's
inauguration, he later tweeted about it, saying he talked to
Trump about stopping the violence in his native city of Chicago.

Diamond Platnumz Retweed "I wanted to meet with Trump to discuss multicultural
issues,"
 
Kuna mshikaji wangu anaishi Ngalimi naye anaitwa Jay -Z yupo vizuri sana kimziki.
Atakua ni yeye nini kapata shavu kwa Domo!

Ngoja nimcheki nimuulize.
 
Back
Top Bottom